Ni hasara kubwa kuwa na wanasiasa kama Mbowe wenye kujali matumbo yao

Mbowe sio mjinga ni mwanasiasa nguli alishaona akifanya siasa za kiharakati hana back up ya kutosha watz wengi bado ni oya oya nyingi ndo maana anajaribu siasa za mezani
Umeonaeeeeeee?
 
Ungeonekana una akili sana kama hizi nguvu ungezielekeza kupiga kelele ili Rais Samia Suluhu Hassan CCM yake wafurushwe wafilie mbali huko ili kuiachia nchi ipate kupumua..

Freeman Mbowe hata akijiuzulu leo, bado haitaondoa tatizo la uhaba na kukatikatika umeme, upungufu wa dola, nishati ya mafuta, unafuu wa gharama za maisha nk nk

Kwa hiyo you're fighting the wrong enemy of your life dude!
 
Mbowe hana njaa, japo mliharibu vyanzo vyake vingi vya pesa
 
Vipi kuhusu wanasiasa mafisadi??
 

Hoja yako ni ipi hapa we 🌈?
 
Sasa unataka uwe na watu kama Lissu ambao hawatumii akili katika kufanya mambo? Muulize mtalaka wa Lissu atakufahamisha vema. Mbowe ni mmachame swafi anajua kwenda na upepo. Mwacheajipigie mpunga.
Wachaga wapo swafi siunaona Dkt Shoo alichowafanyie TEC kwenye sekeseke la bandari hadi TEC wakaonekana kama kinyesi? Wachagga wapo kifursa zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…