comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,748
- 18,096
Nadhani kamaanisha wale wanaoweka nje.Unashauli waiweke wapi?, taarifa yako haijajitosheleza.
Kwa dar hii sidhani kunakitu kinavumilia kulala nje na kisipitiwe na wenyeji wa jiji.Nadhani kamaanisha wale wanaoweka nje.
Ila hata huko nje vikiripuka madhara yanakuwa madogo ukilinganisha na vikiripukia ndani
Kwa dar hii sidhani kunakitu kinavumilia kulala nje na kisipitiwe na wenyeji wa jiji.
Sidhani kama hiyo inasaidia kama bongo wanamiliki teknolojia ya kuiba hadi kamera za madaraja makubwa, washindwa kuyeyusha hivyo vyuma wabebe mzigo wao, bongo teknolojia ya wizi iko juu sana kuliko sekta yoyote ile.Uwa wanavijengea flani, hawaachi wazi wazi
wa uoga huo tarehe 29 kuna jambo kweliYan bati lilivyoripuka nimeshtuka..
K
wa uoga huo tarehe 29 kuna jambo kweli
Kinajengewa, juu unaweka kifuniko chenye kufuli imaraKwa dar hii sidhani kunakitu kinavumilia kulala nje na kisipitiwe na wenyeji wa jiji.
Sawa sawaHakuna jambo aisee
Me nitakuwa live hapa nikisoma update mbali mbali
Niite nikupe ramani ya kujengea mtunngi ukiibiwa mimi nitalipaSidhani kama hiyo inasaidia kama bongo wanamiliki teknolojia ya kuiba hadi kamera za madaraja makubwa, washindwa kuyeyusha hivyo vyuma wabebe mzigo wao, bongo teknolojia ya wizi iko juu sana kuliko sekta yoyote ile.
Sijatapeliwa muda mlefu, wala sina hamu ya kutapeliwa, hakunaga mtu anakubali kuwajibika kwa kosa la mtu mwingine wakati yeye alikwisha maliza kazi kitambo...Niite nikupe ramani ya kujengea mtunngi ukiibiwa mimi nitalipa
Kwani hapo Dar, mbona kama Bukoba?Kwa dar hii sidhani kunakitu kinavumilia kulala nje na kisipitiwe na wenyeji wa jiji.
Wa wapi ww mkuu, wa ikwilili lilongwe au?Kwani hapo Dar, mbona kama Bukoba?