antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 51,723
- 134,757
Zenji hapa mkuuWa wapi ww mkuu, wa ikwilili lilongwe au?
Zenji hapa mkuuWa wapi ww mkuu, wa ikwilili lilongwe au?
Hahahaha,dahHakuna jambo aisee
Me nitakuwa live hapa nikisoma update mbali mbali
Iliyopo ndani inaibiwa sasa huu wa nje sijui itakuajeKwa dar hii sidhani kunakitu kinavumilia kulala nje na kisipitiwe na wenyeji wa jiji.
Sasa mbona unakuwa kama ndumila kuwili namana ww huijui bongo? Bongo siyo ya kufananisha na bukoba na unaposikia daslamu usifikr utakuta majumba kama dubai, unaposikia daslamu ujue n jiji na watu wake wakulungwa wa jiji!Zenji hapa mkuu
Haswa mm mwenyewe ndo nashangaa mkuu!Iliyopo ndani inaibiwa sasa huu wa nje sijui itakuaje
Tena ile ambayo ni mikubwa mirefu inayotumia mipira ni hatari sana, bora ile midogo ya kawaida.
Ikiwezekana mtungi unatakiwa ukae nnje halafu unauchimbia chini kidogo unaujengea ukuta juu unaweka kifuniko cha zege au cha bati unaweka kufuli, halafu mpira unatoboa ukuta kiufundi unaingia ndan kwenye jiko.
Hahaha 🤣😂Kwa dar hii sidhani kunakitu kinavumilia kulala nje na kisipitiwe na wenyeji wa jiji.
Hiyo Dar kweli? Mandhari yaonesha mfanano wa mikoani hasa Nyanda za Juu Kusini au Kaskazini.Watu wa dar acheni uoga...... Afu nguvu zenu zpo mdomoni matusi tu
Sasa Mtungi WA gas Tu mmestuka hivyo,Vile Mkisema mnakinukisha na hamtaki Amani,itakuwaje?Tena ile ambayo ni mikubwa mirefu inayotumia mipira ni hatari sana, bora ile midogo ya kawaida.
Ikiwezekana mtungi unatakiwa ukae nnje halafu unauchimbia chini kidogo unaujengea ukuta juu unaweka kifuniko cha zege au cha bati unaweka kufuli, halafu mpira unatoboa ukuta kiufundi unaingia ndan kwenye jiko.
Ni zaidi ya hatari
Nisaidie hiyo ramani pleaseNiite nikupe ramani ya kujengea mtunngi ukiibiwa mimi nitalipa