Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 20,877
- 43,633
Nimecheka mpaka nimepaliwa na cocktail yangu🍹we mshangazi vipi?

Kuna yule bibi wa visiwani aliishia form 2. Haelewi chochote.Kusema kweli lissu ni miongoni mwa watanzania wenye akili na wanazitumia hata CV yake imenyooka kama rula.
Sio kama wale wenye ELIMU za hapa na pale mpaka wamejipachika udaktariiii wa heshima.
Watu wenye akili hapa Tanzania wanapata shida sana kuishi. Kwann nasema hivi?
Wajinga ni wengi sana na kupelekea wenye akili kujikuta hawawezi kuendana na tabia na hulka za wajinga..
Hivyo wenye akili mara nyingi hushindwa:-
1. Kudumu kwenye ndoa. Fuatilieni wanaoshindwa ndoa pamoja na "kataa ndoa", wengi ni vichwa kweli kweli. Kuishi na mjinga ambaye siyo nduguyo yataka moyo sana. Wenye akili wengi wanashindwa.
2. Kudumu kwenye siasa.
Fuatilia wanasiasa wengi wanaodumu kwenye siasa ni watu wa hovyo sana. Wanaua, wanaroga, wanatoa makafara, wanatoa rushwa, n.k.. Uonevu anaofanyiwa Tundu Lisu na Chadema kwa ujumla ni matokeo ya tabaka la watawala (wanasiasa ) kuwa na wajinga wengi.
3. Kuendesha biashara kubwa.
Kwenye biashara kuna mambo ya hovyo sana, kiasi kwamba kwa mwenye akili timamu hawezi kuyafanya:- kuroga, kuua, kutoa kafara, kuikwepa Kodi, na kuunda magenge ya wezi na wizi.
Ogopa sana nchi ambayo:-
1. Elimu inapopolewa bungeni na wabunge vilaza. Maprofesa wanajikunyata kwa uwoga KILAZA akisimama kuongea.
2. Watu maarufu ni makahaba wanaopotosha watoto wetu wa kike kuwa ukiwa na sura na tako basi unatoboa kimaisha.
3. Wasema hovyo ndiyo mabalozi wa brands za makampuni mbalimbali badala ya watu wasomi na mashujaa wa taifa.
Inauma sana,
Nimejikuta naangua kicheko mpaka watu walio karibu wamegeuka nyuma kuangalia 😆🤣Kuna yule bibi wa visiwani aliishia form 2. Haelewi chochote.
Kama hao unaowaita wenye akili wakishindwa kuendana na hao unaowaita wajinga basi ni dhahiri hao unaowaita wenye akili ni wajinga zaidi ya ujinga wenyewe! Na chunguza kwa makini yaweza kuwa unaowaita wajinga wakawa ndiyo wenye akili!!Watu wenye akili hapa Tanzania wanapata shida sana kuishi. Kwann nasema hivi?
Wajinga ni wengi sana na kupelekea wenye akili kujikuta hawawezi kuendana na tabia na hulka za wajinga..
Hivyo wenye akili mara nyingi hushindwa:-
1. Kudumu kwenye ndoa. Fuatilieni wanaoshindwa ndoa pamoja na "kataa ndoa", wengi ni vichwa kweli kweli. Kuishi na mjinga ambaye siyo nduguyo yataka moyo sana. Wenye akili wengi wanashindwa.
2. Kudumu kwenye siasa.
Fuatilia wanasiasa wengi wanaodumu kwenye siasa ni watu wa hovyo sana. Wanaua, wanaroga, wanatoa makafara, wanatoa rushwa, n.k.. Uonevu anaofanyiwa Tundu Lisu na Chadema kwa ujumla ni matokeo ya tabaka la watawala (wanasiasa ) kuwa na wajinga wengi.
3. Kuendesha biashara kubwa.
Kwenye biashara kuna mambo ya hovyo sana, kiasi kwamba kwa mwenye akili timamu hawezi kuyafanya:- kuroga, kuua, kutoa kafara, kuikwepa Kodi, na kuunda magenge ya wezi na wizi.
Ogopa sana nchi ambayo:-
1. Elimu inapopolewa bungeni na wabunge vilaza. Maprofesa wanajikunyata kwa uwoga KILAZA akisimama kuongea.
2. Watu maarufu ni makahaba wanaopotosha watoto wetu wa kike kuwa ukiwa na sura na tako basi unatoboa kimaisha.
3. Wasema hovyo ndiyo mabalozi wa brands za makampuni mbalimbali badala ya watu wasomi na mashujaa wa taifa.
Inauma sana,
Ni kweli inatakiwa uzaliwe huna akili ili kina Lissu wakuaminishe wakishika nchi wao watakuletea debe la unga na mchele mlangoni bila kufanya kazi
Chilli sauce" .......kina Lissu wakuaminishe wakishika nchi wao watakuletea debe la unga na mchele mlangoni bila kufanya kazi......"
👆🏻👆🏻 sikuwahi kujua kama lissu alishawahi kuahidi kitu kama hicho mkuu unaweza kunipa source ya hilo ulilosema?
Sijui ni mimi peke yangu huwa nashangaa ninavyoona watu wakimsifia na kumshangilia Makonda huku wakitamani awe kiongozi mkubwa, wengine wanafikia hatua yakusema Makonda ni mtu wa Mungu...
Sasa mi huwa nashangaa ina maana yale makandokando yake kama kumpiga mzee Warioba na kuvamia Clouds fm na clip zipo.... sasa huwa najiuliza hao watu hawajaziona hizo clip au ni kwamba wanampenda tu.... Mara nyingine huwa nakaa mahali natafakari mpaka nachoka, ukichek mtandaoni unakuta 90% wanam-support mpaka unakata tamaa kabisa..
All in all nimegundua wabongo asilimia kubwa ni majitu majinga jinga sana yasiyojitambua hopeless kabisa...
Hawajajua siriSijui ni mimi peke yangu huwa nashangaa ninavyoona watu wakimsifia na kumshangilia Makonda huku wakitamani awe kiongozi mkubwa, wengine wanafikia hatua yakusema Makonda ni mtu wa Mungu...
Sasa mi huwa nashangaa ina maana yale makandokando yake kama kumpiga mzee Warioba na kuvamia Clouds fm na clip zipo.... sasa huwa najiuliza hao watu hawajaziona hizo clip au ni kwamba wanampenda tu.... Mara nyingine huwa nakaa mahali natafakari mpaka nachoka, ukichek mtandaoni unakuta 90% wanam-support mpaka unakata tamaa kabisa..
All in all nimegundua wabongo asilimia kubwa ni majitu majinga jinga sana yasiyojitambua hopeless kabisa...
SIjakuelewa mkuu fafanua vizuriChilli sauce
Mkuu, watu wanayaona mabaya hayo ila wanachukulia kuwa mwanadamu hujakamilika, kuna kukosea.Sijui ni mimi peke yangu huwa nashangaa ninavyoona watu wakimsifia na kumshangilia Makonda huku wakitamani awe kiongozi mkubwa, wengine wanafikia hatua yakusema Makonda ni mtu wa Mungu...
Sasa mi huwa nashangaa ina maana yale makandokando yake kama kumpiga mzee Warioba na kuvamia Clouds fm na clip zipo.... sasa huwa najiuliza hao watu hawajaziona hizo clip au ni kwamba wanampenda tu.... Mara nyingine huwa nakaa mahali natafakari mpaka nachoka, ukichek mtandaoni unakuta 90% wanam-support mpaka unakata tamaa kabisa..
All in all nimegundua wabongo asilimia kubwa ni majitu majinga jinga sana yasiyojitambua hopeless kabisa...
Kila sehm unasema AiseeAiseeeeeee