Watu wenye akili hapa Tanzania wanapata shida sana kuishi. Kwann nasema hivi?
Wajinga ni wengi sana na kupelekea wenye akili kujikuta hawawezi kuendana na tabia na hulka za wajinga..
Hivyo wenye akili mara nyingi hushindwa:-
1. Kudumu kwenye ndoa. Fuatilieni wanaoshindwa ndoa pamoja na "kataa ndoa", wengi ni vichwa kweli kweli. Kuishi na mjinga ambaye siyo nduguyo yataka moyo sana. Wenye akili wengi wanashindwa.
2. Kudumu kwenye siasa.
Fuatilia wanasiasa wengi wanaodumu kwenye siasa ni watu wa hovyo sana. Wanaua, wanaroga, wanatoa makafara, wanatoa rushwa, n.k.. Uonevu anaofanyiwa Tundu Lisu na Chadema kwa ujumla ni matokeo ya tabaka la watawala (wanasiasa ) kuwa na wajinga wengi.
3. Kuendesha biashara kubwa.
Kwenye biashara kuna mambo ya hovyo sana, kiasi kwamba kwa mwenye akili timamu hawezi kuyafanya:- kuroga, kuua, kutoa kafara, kuikwepa Kodi, na kuunda magenge ya wezi na wizi.
Ogopa sana nchi ambayo:-
1. Elimu inapopolewa bungeni na wabunge vilaza. Maprofesa wanajikunyata kwa uwoga KILAZA akisimama kuongea.
2. Watu maarufu ni makahaba wanaopotosha watoto wetu wa kike kuwa ukiwa na sura na tako basi unatoboa kimaisha.
3. Wasema hovyo ndiyo mabalozi wa brands za makampuni mbalimbali badala ya watu wasomi na mashujaa wa taifa.
Inauma sana,