Ni hatari sana kuzaliwa mwenye akili hapa Tanzania

Kusema kweli lissu ni miongoni mwa watanzania wenye akili na wanazitumia hata CV yake imenyooka kama rula.

Sio kama wale wenye ELIMU za hapa na pale mpaka wamejipachika udaktariiii wa heshima.
Kuna yule bibi wa visiwani aliishia form 2. Haelewi chochote.
 

Nukuu muhimu:

"
Ogopa sana nchi ambayo:-
1. Elimu inapopolewa bungeni na wabunge vilaza. Maprofesa wanajikunyata kwa uwoga KILAZA akisimama kuongea.
2. Watu maarufu ni makahaba wanaopotosha watoto wetu wa kike kuwa ukiwa na sura na tako basi unatoboa kimaisha.
3. Wasema hovyo ndiyo mabalozi wa brands za makampuni mbalimbali badala ya watu wasomi na mashujaa wa taifa.

"
 
Ni kweli inatakiwa uzaliwe huna akili ili kina Lissu wakuaminishe wakishika nchi wao watakuletea debe la unga na mchele mlangoni bila kufanya kazi
 
Kama hao unaowaita wenye akili wakishindwa kuendana na hao unaowaita wajinga basi ni dhahiri hao unaowaita wenye akili ni wajinga zaidi ya ujinga wenyewe! Na chunguza kwa makini yaweza kuwa unaowaita wajinga wakawa ndiyo wenye akili!!

Inawezekanaje mjinga kumuongoza mwenye akili kwenye ujinga na yeye akakubali kwenda kama bwege??
 
Ni kweli inatakiwa uzaliwe huna akili ili kina Lissu wakuaminishe wakishika nchi wao watakuletea debe la unga na mchele mlangoni bila kufanya kazi

" .......kina Lissu wakuaminishe wakishika nchi wao watakuletea debe la unga na mchele mlangoni bila kufanya kazi......"

👆🏻👆🏻 sikuwahi kujua kama lissu alishawahi kuahidi kitu kama hicho mkuu unaweza kunipa source ya hilo ulilosema?
 
Chilli sauce
 

Sio wew, nipo hapa pia. Et mtu anaona makonda ni kichwa kabisa anaamin makonda ana akili muno. Wakat kwa akili za kawaida tuu hata kwa hoja zake maenyewe hata yeye anajijua chenga. Kuna nin cha akili kwan amewah kifanya yale maombi ya kumuombea?? Hapo nguvu huwa zinaisha nabaki nacheka aisee
 
Wivu sana
Uchawi
Kamchawi kakiona jamaa fulani yupo vizuri analoga na kuchezea akili ya mtu au anatumia nyota yake
Alf unakuta ni rafiki yako
 
Hawajajua siri
 
Mkuu, watu wanayaona mabaya hayo ila wanachukulia kuwa mwanadamu hujakamilika, kuna kukosea.

Na pia wanaongea katika kukata tamaa kuwa bora Makonda awe Waziri Mkuu au Rais kuliko mtu anayesema ni wa upinzani, kumbe ni ccm!!

Wewe mwenyewe ungeambiwa uchague mmoja awe Rais, kati ya Zitto na Makonda na Mbowe ungemchagua nani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…