Ni hatari sana kwa nchi kutegemea ushauri wa Legal Officer (Hamza Johari), na kuiingiza nchi kwenye mkataba

Kuna mjinga mmoja anamini ukiwa wakili basi unaakili kuliko watu wote! Kwahiyo wengine hawana locus stand ya kujadili.!!
 
Daaa sasa Hamza ndio AG hapo vipi ? Tunaomba CV yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…