Ni kweli nilipokuja kujua bei halisi ya bosse oG from USA ni around 1m ndipo nilichoka saii nataka nihame beats by Dre nazielewa Sana ila mkasi kinoma.Siku nyingine jaribu kuangalia na uhalisia wa bei, products za bosse zipo juu sana
Umeongea point Sana mkuu nakubaliana na wewe nakupa mfano nna headphone hapa inaitwa moxom w-22 nimenunua k/koo 45k sound quality yake no balaa charge non-stop ikiwa ina play ni 24hrs standby 33hrs lakini ukileta iyo sijui beats by Dre JBL inaweza kidogo kufua dafu.Sure kununua headphones na earphones za mill 1 inaweza kuwa kawaida ila napata ukakasi kuona hichi kitu Tanzania.
Then nabaki kujiuliza hawa watu wanaolia tozo, hasa tozo za miamala na vifurushi wanatokea wapi?
Speaker imetengenezwa kwa magnet, plastic diaphragm na voice coil, sidhani kama kuna new technology in speakers I highly doubt that.
Besides marketing strategy, ushabiki, brand popularity na status hasa kwa watu wakubwa, millionaires, billionaires na music proffesionals, sioni cha maana speaker ya mill 1 inaoffer kuzidi speaker ya 100k labda noise Cancellation ila kuna aslimia 90% quality ni ileile kwa watu wanaojua sound wave differentials.
Na most important ni psychologically watu wanaamini kitu kikiwa na bei kubwa basi quality inakuwa kubwa, ni scientifically proven.
We truly live in a society, kuna mtu atakuja kusema "tafuta hela wewe!".
Anyway I'm just saying!
MkuuSure kununua headphones na earphones za mill 1 inaweza kuwa kawaida ila napata ukakasi kuona hichi kitu Tanzania.
Then nabaki kujiuliza hawa watu wanaolia tozo, hasa tozo za miamala na vifurushi wanatokea wapi?
Speaker imetengenezwa kwa magnet, plastic diaphragm na voice coil, sidhani kama kuna new technology in speakers I highly doubt that.
Besides marketing strategy, ushabiki, brand popularity na status hasa kwa watu wakubwa, millionaires, billionaires na music proffesionals, sioni cha maana speaker ya mill 1 inaoffer kuzidi speaker ya 100k labda noise Cancellation ila kuna aslimia 90% quality ni ileile kwa watu wanaojua sound wave differentials.
Na most important ni psychologically watu wanaamini kitu kikiwa na bei kubwa basi quality inakuwa kubwa, ni scientifically proven.
We truly live in a society, kuna mtu atakuja kusema "tafuta hela wewe!".
Anyway I'm just saying!
[emoji16][emoji16]Comments sasa mie hoi, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Sahihi Speaker za elfu 5000 hakuna kitu na ndio maana nimetumia mfano wa speaker za kuanzia 100K.Mkuu
Speaker technology zipo nyingi na kuna tofauti kubwa sana ya sauti kati ya speaker na speaker , kama wewe ni mnazi wa music utajua kuwa baaxhi ya speaker huwa hazipigi kabisa baadhi ya sauti,
Ujanja sio kununua headphone ghali, kuna cheap products ambazo ni nzuri pia ,
Sure kununua headphones na earphones za mill 1 inaweza kuwa kawaida ila napata ukakasi kuona hichi kitu Tanzania.
Then nabaki kujiuliza hawa watu wanaolia tozo, hasa tozo za miamala na vifurushi wanatokea wapi?
Speaker imetengenezwa kwa magnet, plastic diaphragm na voice coil, sidhani kama kuna new technology in speakers I highly doubt that.
Besides marketing strategy, ushabiki, brand popularity na status hasa kwa watu wakubwa, millionaires, billionaires na music proffesionals, sioni cha maana speaker ya mill 1 inaoffer kuzidi speaker ya 100k labda noise Cancellation ila kuna aslimia 90% quality ni ileile kwa watu wanaojua sound wave differentials.
Na most important ni psychologically watu wanaamini kitu kikiwa na bei kubwa basi quality inakuwa kubwa, ni scientifically proven.
We truly live in a society, kuna mtu atakuja kusema "tafuta hela wewe!".
Anyway I'm just saying!
Sure kununua headphones na earphones za mill 1 inaweza kuwa kawaida ila napata ukakasi kuona hichi kitu Tanzania.
Then nabaki kujiuliza hawa watu wanaolia tozo, hasa tozo za miamala na vifurushi wanatokea wapi?
Speaker imetengenezwa kwa magnet, plastic diaphragm na voice coil, sidhani kama kuna new technology in speakers I highly doubt that.
Besides marketing strategy, ushabiki, brand popularity na status hasa kwa watu wakubwa, millionaires, billionaires na music proffesionals, sioni cha maana speaker ya mill 1 inaoffer kuzidi speaker ya 100k labda noise Cancellation ila kuna aslimia 90% quality ni ileile kwa watu wanaojua sound wave differentials.
Na most important ni psychologically watu wanaamini kitu kikiwa na bei kubwa basi quality inakuwa kubwa, ni scientifically proven.
We truly live in a society, kuna mtu atakuja kusema "tafuta hela wewe!".
Anyway 'm just saying!
OK,ulikuwa na bahati sana,lakini bado zinapiga mziki kawaida?Kuna jamaa yangu alipewa zawadi akaniuziaga hakuwa mtu wa hivi vidude.. ni kitambo kidogo sijui nilimpa 50k vile na zilikuwa mpya hadi nimezichakaza.. sina kumbukumbu vizuri pesa niliyompa exactly View attachment 2364058View attachment 2364060View attachment 2364059View attachment 2364061
Sent from my SM-G930U using JamiiForums mobile app
Kuna headphone ukisikiliza nusu saa tu masikio yanauma yaani unachoka,na kuna zingine hata ukisikiliza kwa muda mrefu bado masikio hayachoki,pili headphone inaweza kusababisha uziwi kama ukitumia kwa muda mrefu hasa kama haina viwango vizuri,Sure kununua headphones na earphones za mill 1 inaweza kuwa kawaida ila napata ukakasi kuona hichi kitu Tanzania.
Then nabaki kujiuliza hawa watu wanaolia tozo, hasa tozo za miamala na vifurushi wanatokea wapi?
Speaker imetengenezwa kwa magnet, plastic diaphragm na voice coil, sidhani kama kuna new technology in speakers I highly doubt that.
Besides marketing strategy, ushabiki, brand popularity na status hasa kwa watu wakubwa, millionaires, billionaires na music proffesionals, sioni cha maana speaker ya mill 1 inaoffer kuzidi speaker ya 100k labda noise Cancellation ila kuna aslimia 90% quality ni ileile kwa watu wanaojua sound wave differentials.
Na most important ni psychologically watu wanaamini kitu kikiwa na bei kubwa basi quality inakuwa kubwa, ni scientifically proven.
We truly live in a society, kuna mtu atakuja kusema "tafuta hela wewe!".
Anyway I'm just saying!
Asante,Hebu tuwekee picha,zinapatika kwa bei gani?Tafuta joyroom jr-3s pro. Ni 1:1 copy ya apple earpods pro. zinafanana sound quality, mziki mnene. Au ninazotumia sahivi, zinaitwa soundpeats H1, hazina noise cancelation wala transparent mode, lakini sound quality ni top. Zina hybrid dual drivers.
Hivi kuna uwezekano ukisikiliza wimbo Fulani baadhi ya sauti/vyombo usivisikie kabisa kutokana na spika unayotumia?lakini ukibadilisha spika ukavisikia?1st: Quality ya Sound kati ya Speaker na Speaker SIO SAWA na HAIFANANI. Mfano: unataka kusema Kwamba Speaker ya Seapiano mchina inaweza kuwa sawa na spika ya Bose???
2nd: Twende kwenye point ya earphones, Apart from Noice Cancelling, nakupa factors zingine:
- Sound Quality
- True Stereo Separation
- Build Quality
- Touch controls
- Smart voice controls(Alexa, Google home etc)
- Superb Battery Life
- In app customization
- Water/Dust resistant
Nakadhalika.....
Swali langu kwako:
Hivi vitu unavipata kwenye earphones/earbuds za Laki Moja?
Ni kweli. Kuna sauti unaweza usizisikie kutokana na spika unayotumia.Hivi kuna uwezekano ukisikiliza wimbo Fulani baadhi ya sauti/vyombo usivisikie kabisa kutokana na spika unayotumia?lakini ukibadilisha spika ukavisikia?
Asante,ndio maana wenzetu huko Ulaya hawataki kabisa mambo ya quality za chini,maana unakosa vitu vingiNi kweli. Kuna sauti unaweza usizisikie kutokana na spika unayotumia.
Kwa uelewa wangu, Sound reproduction ya Speakers inatofautiana sana.
Mfano rahisi tu, Spika ya Mchina ya laki 1 haiwezi kuproduce sauti EXACTLY kama speaker ya "a named manufacturer" anayeeleweka inayocost 2 or 3 million.
Mimi binafsi natumia HiFI Speakers flani hivi expesive kidogo.
Kuna sauti nazisikia sasa hivi ambazo sikuwahi kuzisikia kabisa huko nyuma nilipokuwa natumia Speakers nyingine za kawaida.
Uwezekano huo upo kabisa, frequency responce zinatofautiana sana ,Hivi kuna uwezekano ukisikiliza wimbo Fulani baadhi ya sauti/vyombo usivisikie kabisa kutokana na spika unayotumia?lakini ukibadilisha spika ukavisikia?
Baadh ya Wabongo bado kabisa kujua vyombo vya miziki ndo maana Mimi Niko tayari nikanunua home theater used kuliko kununua sabufa mpya dukani mziki quality Una utamu wake bana.Ni kweli. Kuna sauti unaweza usizisikie kutokana na spika unayotumia.
Kwa uelewa wangu, Sound reproduction ya Speakers inatofautiana sana.
Mfano rahisi tu, Spika ya Mchina ya laki 1 haiwezi kuproduce sauti EXACTLY kama speaker ya "a named manufacturer" anayeeleweka inayocost 2 or 3 million.
Mimi binafsi natumia HiFI Speakers flani hivi expesive kidogo.
Kuna sauti nazisikia sasa hivi ambazo sikuwahi kuzisikia kabisa huko nyuma nilipokuwa natumia Speakers nyingine za kawaida.
Subwoofer wabongo tunanunua kwa sababu ya umasikini wetu tu, ni vile tu hatuna hela.Baadh ya Wabongo bado kabisa kujua vyombo vya miziki ndo maana Mimi Niko tayari nikanunua home theater used kuliko kununua sabufa mpya dukani mziki quality Una utamu wake bana.
hpo kwa sony unapata kodtec subwoofer 2[emoji16][emoji16]Mimi nimeangalia reviews nyingi sana za earbuds/headphones.
Kwa earbuds, Rankings zipo hivi.
1. Sony WF-XM1000
2. Bose Quitecomfort
3. Senheizer momentum 3
4. Airpods Pro
Bei sio za kinyonge though, Sony WF-XM1000 (ninayotumia) inapatikana kuanzia 750,000 na kuendelea.