Lord Denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 23,491
- 57,973
Mfano wa hao waliotimiza ndoto zao ni wale waliobebwa kwa kura feki kule bungeni.Hata Kamara Haris atapata mpaka watu flani aka wajumbe waridhie, so ni kawaida kwa Trump, kwa Biden, Obama wote walipata ridhaa ya wajumbe! Mbona vijana wengi tu wametimiza ndoto wakati wa JPM!
Watu weusi hatukupaswa kuwai kujitawala. Kuna shida sana kwenye akili ya mtu mweusi.Wakoloni walichimba madini lakini walikumbuka kurudisha pesa katika kuendeleza jamii. Walijenga shule, hospitali, barabara, waliweka maji na umeme.
Ajira zilikuwepo kwani walifanya kilimo cha biashara na kuajiri vijana wengi tu.
Tusingepata uhuru 1961, 3/4 ya nchi ingekua na barabara za laki.
Unamaanisha nini? Ni watu gani hadi waridhie ndo Kamara apate? Unaposema Obama hadi watu fulani waridhie unamaanisha nini??! Hivi lumumba huwa mna akili kweli?Hata Kamara Haris atapata mpaka watu flani aka wajumbe waridhie, so ni kawaida kwa Trump, kwa Biden , Obama wote walipata ridhaa ya wajumbe! Mbona vijana wengi tu wametimiza ndoto wakati wa JPM!
Alafu mbaya zaidi mtu kaongea statement kwa kujipa mamlaka ya Mungu badala wasikitike wenyewe wanacheka cheka tu!Tanzania kupata uhuru 1961 ilikuwa sawa na binti wa miaka 14 kutaka kujitegemea na kutoka nyumbani kwa wazazi wake wa hiari.
Makuzi yanakuwa shida; kudumaa ki mwili na akili vinamsonga.
Kinachofanyika sasa ni kuua kabisa fikra za vijana hasa hawa wa CCM ili wabaki kushabikia tu yote yanayofanywa na wazee wao hata kama ni ya kulinajisi Taifa.
Yani mzee Lukuvi kaambiwa hawezi kuwa Rais na binadamu mwenzake na kabudi, badala wasikitike yenyewe inajichekesha tu!! Yaani hii nchi inabidi irudi kwa wakoloni watu wafunguke akiliHivi ww leo ndo unajua ? Maisha ya mtz yanamliwa na kikundi au watu fulani, hata wakisema kesho unatakiwa kufa na utakufa bila kubisha mwenyewe 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Inasikitisha kwa kweliunaweza kufikiri ni kama watoto wanajipikilisha kibaba-baba kumbe ndio nchi inaenda hivyo. aisee inasikitisha sana
Kweli kabisa. Waangalie Zimbabwe, walifukuza wazungu wakawanyang’anya mashamba. Wameshindwa kuyaendeleza na Zimbabwe ikafa kwa uzalishaji chakula. Sasaivi wanawarudishia wazungu mashamba yaoMkuu kwa hili nakubaliana nawe.
Hata ukiangalia South Africa aliyepata uhuru jana tu wako vizuri.
Tukubali tukatae tumefanya haraka ya kupata uhuru..
Hao wanafunzi walikuwa na akili sanaHERI UKOLONI KULIKO UHURU...
hii inanikumbusha mwaka 1965 mgomo wa wanafunzi chuo kikuu DSM mwalimu nyerere alipoona Bango limeandikwa
HERI UKOLONI KULIKO UHURU mwalimu alifura na kuwa Mwekundu.
HERI UKOLONI WA WAZUNGU KULIKO CCM.
Kwani kuondoka kwa WAKOLONI hiyo 61 kulitarajiwa na WAZAWA?Tanzania kupata uhuru 1961 ilikuwa sawa na binti wa miaka 14 kutaka kujitegemea na kutoka nyumbani kwa wazazi wake wa hiari...