Ni heri Tanzania ingeendelea kutawaliwa na Mkoloni ili tupembuke akili

Ni heri Tanzania ingeendelea kutawaliwa na Mkoloni ili tupembuke akili

Hivi nyie kila kitu kupinga? Kama huwezi kuona trend ya marais wa tz, utapingana na kauli ya JPM. Katika Tanzania baada ya Nyerere ni kuwa mtu kati ya 50-60 ndiye anaweza kuwa Rais. Tunaita cohort. Mfano cohort yetu, inamaliza na JPM na sasa kwa 2025 cohort ya urais ni akina mpuuzi Tundu Lissu et al
Kwani wanaenda beba zege ikulu au akili ndo utakiwa
 
Tungekuwa mbali Sana sawa na latin america elimu afya ilikuwa bora. Alichokosea Nyerere ni kuleta ujamaa, ujamaa ukazalisha uvivu na umasikini. Angetembea na mfumo ule ule wa uchumi wa kikoloni
Kuhusu sera za kijamaa ni kweli zinajulikana IMPACT YAKE KWETU....

Bahati mbaya UKOLONI ulibebwa na UBEPARI NA SOKO HURIA...

UBEPARI ulihitaji KUWATWEZA nguvu wengine(kuwatumikisha mashambani bila ya kuwapa stahiki njema).

Wananchi wa NCHI ZOTE MAKOLONI....wengi wao WALIDAI UHURU kupitia SERA za kikomunisti na UJAMAA kwani ndio IMANI iliyokuwa INAUZIKA KIVITENDO dhidi ya UBEBERU+UBEPARI...

Na kumbuka zile nchi za KIKOMUNISTI ndizo zilizokuwa zinatoa misaada kwetu kutusaidia kushinikiza UHURU...(URUSI,CUBA NA ULAYA YA MASHARIKI).

UJAMAA ulikuwa ni IMANI isiyoepukika....

Jomo Kenyatta ALIIEPUKA kwa kuogopa KUHATARISHA maslahi yake kiuchumi.....Je sera za UBEPARI nchini KENYA zimekuwa ni MUAROBAINI wa watu "wote" hususani WANYONGE WENGI?!!!

Je huko KENYA wanyonge hao wana ARDHI?!??

Vipi hapa kwa MJAMAA Nyerere...hatumiliki ARDHI?!!!

Je ARDHI si jambo la THAMANI leo na MTONDOGOO?!!!
 
HERI UKOLONI KULIKO UHURU...

hii inanikumbusha mwaka 1965 mgomo wa wanafunzi chuo kikuu DSM mwalimu nyerere alipoona Bango limeandikwa
HERI UKOLONI KULIKO UHURU mwalimu alifura na kuwa Mwekundu.

HERI UKOLONI WA WAZUNGU KULIKO CCM.
Thus akafuta vyama vingi kuepuka challenge
 
Mkoloni huyohuyo ALITOA ELIMU kwa watoto wa VIBARAKA WAKE na WATOTO WA MACHIFU aliokuwa "anashirikiana" nao kujinufaisha KIUCHUMI.....

Ni wapi mkoloni alitoa elimu njema na bora kwa WANANCHI WOTE wa lililokuwa KOLONI LAKE?!!!

Ni wapi mkoloni alijenga HOSPITALI BORA kwa wananchi WOTE?!!!

Nakukumbusha ya kwamba JIJINI DAR ES SALAAM hakukuwa na HOSPITALI kwa ajili ya WAZAWA Mpaka pale "mhindi" mmoja mwenye UTU alipoguswa na kuamua kutoa eneo kukajengwa KITUO CHA AFYA pale POSTA STESHENI ambako at least WAZAWA waliweza kupata PANADOL na DAWA YA VIDONDA GV....

Halafu baadaye sana ndio akatokea muhindi mwingine Mzalendo KUTUJENGEA pale SEWA HAJI(Leo muhimbili).

Hebu jiulize ni kwanini watoto wa MACHIFU Pekee ndio waliopata elimu kubwa:
1.Hayati Mwalimu NYERERE
2.Hayati Abdallah Fundikira
3.Hayati Hamza Mwapachu
4.Hayati Adam Sapi Mkwawa
5.Ukoo Wa kina Mirambo
6.Ukoo wa Marealle
7.Ukoo wa Sina na Meli
[emoji115][emoji115][emoji115]
Halafu zitazame familia hizo,je si familia za viwango vya JUU Mpaka LEO?!!!
Haihalalishi kauli za mfalme wa leo .

Nani aongoze taifa hili lilitakiwa kuwa jukumu la wananchi na si jukumu la kikundi kidogo cha watawala . Hata wasomi wa nchi hii nao wamewaangusha wananchi
 
Kuhusu sera za kijamaa ni kweli zinajulikana IMPACT YAKE KWETU....

Bahati mbaya UKOLONI ulibebwa na UBEPARI NA SOKO HURIA...

UBEPARI ulihitaji KUWATWEZA nguvu wengine(kuwatumikisha mashambani bila ya kuwapa stahiki njema).

Wananchi wa NCHI ZOTE MAKOLONI....wengi wao WALIDAI UHURU kupitia SERA za kikomunisti na UJAMAA kwani ndio IMANI iliyokuwa INAUZIKA KIVITENDO dhidi ya UBEBERU+UBEPARI...

Na kumbuka zile nchi za KIKOMUNISTI ndizo zilizokuwa zinatoa misaada kwetu kutusaidia kushinikiza UHURU...(URUSI,CUBA NA ULAYA YA MASHARIKI).

UJAMAA ulikuwa ni IMANI isiyoepukika....

Jomo Kenyatta ALIIEPUKA kwa kuogopa KUHATARISHA maslahi yake kiuchumi.....Je sera za UBEPARI nchini KENYA zimekuwa ni MUAROBAINI wa watu "wote" hususani WANYONGE WENGI?!!!

Je huko KENYA wanyonge hao wana ARDHI?!??

Vipi hapa kwa MJAMAA Nyerere...hatumiliki ARDHI?!!!

Je ARDHI si jambo la THAMANI leo na MTONDOGOO?!!!
Kukiwa na sera nzuri matatizo ya watu yanaangaliwa kwa sehemu wanazoishi. Mfano watu wa Chalinze wana shida ya maji, serikali inakaa chini na wawekezaji wakubwa wa Chalinze kuangalia jinsi watakavyo saidia wananchi. Sera ya ubepari ni wenye nacho husaidia wasiokua nacho. Ndiyo maana lile bakuli lenu huwa linajazwa na mnaowaita mabeberu.
 
Amani iwe nanyi.

Wakati Joe Biden akiwa ameshinda kiti cha Urais wa Marekani akiwa na miaka 78 Makamu wake mtarajiwa Bi Kamala Harris alitoa hotuba nzuri iliyosisimua watu wengi sana.

Kamala akiwa binti aliyezaliwa na wazazi wote wahamiaji waliotoka nje ya Marekani yaani Baba mwenye asili ya Jamaica na mama mwenye asili ya India alitoa hotuba kali sana huku akisifia Uzuri wa Marekani kuwa ukiwa na ndoto yeyote ile Marekani unaweza kuitimiza haijalishi unatoka familia gani, au wewe ni nani au umetoka kwenye background gani au ni mtu wa namna gani. Hii kwa Wamarekani wanaita American dream.

Hili limejidhihilisha kuanzia kwa Joe Biden hadi kwa Kamala Harris.

Kwa Joe Biden amekuja kushinda Urais wa Marekani akiwa na miaka 78, huku akiwa alishajaribu mara mbili huko nyuma kuwa Rais na kushindwa.

Kwa Kamala amekuwa Makamu wa Rais huku akiwa ni mtoto wa wahamiaji.

Ila kwa Tanzania leo hii Magufuli akiwa anahutubia baada ya kuwaapisha Majaliwa, Kabudi na Mpango amesema kitu ambacho kwa watu wenye akili ni jambo ambalo linahuzunisha na kuumiza sana.

Amesema watu walio na umri mkubwa kumzidi hawawezi kuwa Marais na hata kama wana hizo ndoto basi wazifute. Alienda mbele na kuwataja Lukuvi na Kabudi

Hii inamaanisha nini?

Hii inamaanisha kwa Tanzania chini ya Magufuli na CCM mtu hata akiwa na ndoto yake ya kuwa mtu fulani au kufanikisha jambo fulani basi hiyo ndoto yake hawezi kuifanikisha hadi ipate ridhaa ya watu fulani wenye uwezo wa kuamua hatma yake.

Hii ina maanisha pia kwa Watanzania ndoto zetu tulizonazo juu ya maisha yetu wala haziamuliwi na Mungu bali mtu mkuu anayechukua madaraka.

Kwa hali ni Bora Tanzania tungeendelea kutawaliwa na Wazungu mpaka tupate akili na kustaarabika ndio wangetuachia tujitawale.

Na kwa hali hii ndio maana hatutakuja kupata maendeleo ya kweli ya kwetu hadi pale tutakapojua na kukubaliana kuwa CCM ndio mchawi wa ustawi wa Tanzania.
Mkoloni aendelee kukutawala wewe na wenye mawazo kama yako. Umri ni factor katika uongozi , kadri unavyokuwa mkubwa ndivyo na uwezekano (yamkini) unavyopungua, huo ni ukweli!
 
Ndio Hivyo tena Tumeshaliwa Kama Taifa, Lililobaki tusifie tu ili Mkono uende Kinywani... Wazungu wanasema" If you're not participating in Politics and you're smart upstairs, then you will end up governed by inferiors". Wenye Hakili Wanakimbia Siasa so Tusubirie hadi Kiama.
 
Haihalalishi kauli za mfalme wa leo .

Nani aongoze taifa hili lilitakiwa kuwa jukumu la wananchi na si jukumu la kikundi kidogo cha watawala . Hata wasomi wa nchi hii nao wamewaangusha wananchi
Kwani kauli ya mh.Rais kuhusu hayo masuala ya umri IMEKUWA NI SHERIA inayotakiwa kufanyiwa amendment ndani ya KATIBA YETU?!!!

Ameongelea kama mwenyekiti wa chama...hayo ni Mambo ya CCM...ndio mana hakuwataja kina LIPUMBA na MAALIM SEIF bali wanaCCM wenzake kina LUKUVI NA KABUDI....

Hiyo kauli yake wala si SHERIA ndani ya CHADEMA na nadhani itabaki kauli BORA ya kuijenga "demokrasia" kwani IWAPO Kutakuwa na "WAZEE" wanaotaka nafasi hiyo kubwa na hawajaridhika na MANENO hayo basi ndio muda MUAFAKA waviunge mkono vyama Kama CHADEMA kwa kwenda HUKO ambako HAKUNA MANENO YA UKOMO WA UMRI KUGOMBEA...

MAREHEMU mzee Sitta alishindwa KUGOMBEA KITI chake kwa mara nyingime baada ya AKIDI YA NEC kuamua kuwa "kile" kilikuwa ni kipindi cha "kinamama" hatimaye YAKATOKEA yaliyotokea....😂😂
👆👆👆
Usimlaumu mh. Magufuli,hayo alianza MH.KIKWETE....
 
Kukiwa na sera nzuri matatizo ya watu yanaangaliwa kwa sehemu wanazoishi. Mfano watu wa Chalinze wana shida ya maji, serikali inakaa chini na wawekezaji wakubwa wa Chalinze kuangalia jinsi watakavyo saidia wananchi. Sera ya ubepari ni wenye nacho husaidia wasiokua nacho. Ndiyo maana lile bakuli lenu huwa linajazwa na mnaowaita mabeberu.
Sawa....

Hao wawekezaji wakubwa USEMAO ni kazi ya SERIKALI kuwatafuta "mguu kwa mguu"?!!!

Ama ni dhima ya SERIKALI kutengeneza mazingira bora ya KILA AINA YA UWEKEZAJI kama alivyoongelea mh.Rais kwa TIC kuihamishia ofisini kwake.....?!!!

Huko kwa nchi zilizoendelea KIBEPARI ndiyo hivyohivyo YANAVYOFANYIKA kwa kule KUWEKA MAZINGIRA BORA YA UWEKEZAJI....

Kwani ni nani kukuambia kuwa sasa hivi hatufuati mfumo wa SOKO HURIA?!!!

Mimi siwaiti " MABEBERU" hao WAHISANI wetu....wanaowaita hivyo HUWAITA "kisiasa" tu.....
 
Kwani kauli ya mh.Rais kuhusu hayo masuala ya umri IMEKUWA NI SHERIA inayotakiwa kufanyiwa amendment ndani ya KATIBA YETU?!!!

Ameongelea kama mwenyekiti wa chama...hayo ni Mambo ya CCM...ndio mana hakuwataja kina LIPUMBA na MAALIM SEIF bali wanaCCM wenzake kina LUKUVI NA KABUDI....

Hiyo kauli yake wala si SHERIA ndani ya CHADEMA na nadhani itabaki kauli BORA ya kuijenga "demokrasia" kwani IWAPO Kutakuwa na "WAZEE" wanaotaka nafasi hiyo kubwa na hawajaridhika na MANENO hayo basi ndio muda MUAFAKA waviunge mkono vyama Kama CHADEMA kwa kwenda HUKO ambako HAKUNA MANENO YA UKOMO WA UMRI KUGOMBEA...

MAREHEMU mzee Sitta alishindwa KUGOMBEA KITI chake kwa mara nyingime baada ya AKIDI YA NEC kuamua kuwa "kile" kilikuwa ni kipindi cha "kinamama" hatimaye YAKATOKEA yaliyotokea....[emoji23][emoji23]
[emoji115][emoji115][emoji115]
Usimlaumu mh. Magufuli,hayo alianza MH.KIKWETE....
We sijui unasema nini ?!. Huyu bhuana alianza nyuma na si Leo . Alipowaambia wa Zanzibari wasimchagulie shikamoo wa kumuamkia dhidi yake. Alimaanisha hataki Seif awe Rais kwa kuwa akifanya naye shughuli atalazimika kumuamkia !!.

Ninachosema , ni kuwa aliye kwenye kiti hapaswi kuwachagulia wananchi ni nani wa kuwaongoza . Yametokea kwenye ubunge na sasa hadi u Rais wananchi hawana uwezo wa kumuweka wamtakaye bali chaguo la watawala.
 
mhenga aliyesema mbuyu huanza kama mchicha alikosea, sasa hivi ni mchicha huanza kama mbuyu...huyu jamaa kawa kama joka la mdimu yaani anawararua hata watu wake wa karibu kabisa.
 
Huwezi jenga chuo kikuu hakina wahitaji thus East Africa wote walipelekwa Makerere then london, sababu muitio wa watz kusoma ulikuwa Mdogo sana
Kwani MAKERERE kilijengwa na WAZAWA?!!!!

Kwani kipindi Kina Nyerere,Dr.Kyaruzi na Hamza Mwapachu walipokuwa wanasoma MAKERERE wakoloni walikuwa wameshaondoka?!!!!

Hicho kipindi walichokuwa WAMASOMA,je raia wengi wa UGANDA walikuwa na mwamko wa KUSOMA Kama kipindi hiki BAADA YA UHURU WAO?!!!

Hapa ninazungumzia ARI NA NIA ya NYERERE KUTUJENGEA CHUO wasome wazawa wengi...na mpaka leo bado Kuna kundi kubwa mno la VIJANA wasiofika CHUO KIKUU(less than 2 out of 10) ya sisi vijana ndio TUNAFIKA CHUO KIKUU hapa nyumbani na hata UINGEREZA pia namba sio kubwa kivile (japo ndio mababa wa elimu).....
 
We sijui unasema nini ?!. Huyu bhuana alianza nyuma na si Leo . Alipowaambia wa Zanzibari wasimchagulie shikamoo wa kumuamkia dhidi yake. Alimaanisha hataki Seif awe Rais kwa kuwa akifanya naye shughuli atalazimika kumuamkia !!.

Ninachosema , ni kuwa aliye kwenye kiti hapaswi kuwachagulia wananchi ni nani wa kuwaongoza . Yametokea kwenye ubunge na sasa hadi u Rais wananchi hawana uwezo wa kumuweka wamtakaye bali chaguo la watawala.
Sawa...

Amewataja kina Kabudi na Lukuvi wa CCM...kwani anamaanisha ndio CONTESTANTS wa vyama vyote?!!!

Kwa hiyo ndiyo unatuaminisha kuwa hata UCHAGUZI ujao CCM itashinda kama huu?!!!

Yeye ameongelea MGOMBEA WA URAIS kwa tiketi ya CHAMA CHAKE....

N .B UCHAGUZI HUU VILISHIRIKI VYAMA 17.
 
Naona umejichanganya hapa kidogo.
Kamara Harris ndiyo mtu mwenye asili ya kijamaika na kihindi. Wazazi wake wote wawili ni wahamiaji na sio vingine. Yaani yeye ni citizen by Birth!
Ila Watz wenzenu ambao wako USA kutimiza ndoto zao za kielimu na uchumi,kila siku mnawakashifu kuwa wananosha vyombo,mara hawajajenga nyumbani
 
Utawala wa Magufuli umezalisha ajira ngapi za vijana?
Wakati wa mkoloni kilimo cha chai, maongezi,kahawa korosho, pamba, katani, tumbaku mazao yote haya yalizalisha ajira na wakulima walikua wana pa kuuzia mazao. Mkoloni hakuwahi kutuma wanajeshi wakapore korosho Kusini.

Mkoloni alijenga reli.
Mkuu....

Yale Mazao yaliyokuwa yanazalishwa kipindi cha mkoloni yalitengeneza AJIRA?!!!

Ajira kwa maana ya AJIRA RASMI NA ISIYO RASMI?!!

Mkuu isije ikawa unatuchanganyia UKIBARUA na UKULI kuwa ni AJIRA....

Mkuu mkoloni hakutoa AJIRA ya jembe la Mkono Katika mashamba yake zaidi ya HAND TO MOUTH...anakulimisha mazao ya biashara nawe unalima kidogo kwa AJILI YA KULA na hakukuwa na MISHAHARA(nionyeshe Kama ilikuwepo).....

Kuhusu suala la AJIRA kwa Magufuli mbona LIKO WAZI....

Ni kweli kwa MIAKA 5 ya KWANZA hakuajiri Sana Kama WALIVYOAJIRI WATANGULIZI WAKE....

Haikuwa ni KIPAUMBELE CHAKE kwa sababu MTAMBUKA......

Je tujiulize...nguvu hiyo ya KUTOAJIRI hakuipeleka SEHEMU Nyingine kwa MASLAHI ya taifa?!!!

Kwani kupanga ni kuchagua....

Na kila UTAWALA una vipaumbele vyake...ndio MAANA aliyofanya OBAMA kuhusu HEALTH CARE NA MAKUBALIANO YA KINYUKLIA NA IRAN bwana TRUMP alikuja KUYAFUTA YOTE...je TRUMP si Mzalendo Kama OBAMA?!!!!!

Bahati iliyotokea hapa nchini ni kuwa yule ambaye "hakuajiri sana" ameshinda tena URAIS......

Kwa hiyo,tusubiri TUONE akiajiri wale WALIMU 13,000 alioahidi pamoja na kada Nyingine....kwani ndio KWANZAAAAA ameapa......
 
Hujapembuka akili wewe mtumwa

Back
Top Bottom