Maneno Meier
JF-Expert Member
- May 12, 2013
- 2,466
- 1,700
Naona umejichanganya hapa kidogo.Kamara akiwa binti aliyezaliwa na wazazi wote wahamiaji waliotoka nje ya Marekani yaani Baba mwenye asili ya Jamaica na mama mwenye asili ya india alitoa hotuba kali sana huku akisifia Uzuri wa Marekani kuwa ukiwa na ndoto yeyote ile Marekani unaweza kuitimiza haijalishi unatoka familia gani, au wewe ni nani au umetoka kwenye background gani au ni mtu wa namna gani. Hii kwa Wamarekani wanaita American dream.
Kamara Harris ndiyo mtu mwenye asili ya kijamaika na kihindi. Wazazi wake wote wawili ni wahamiaji na sio vingine. Yaani yeye ni citizen by Birth!