Wewe mwongo. Baba yangu alipata elimu nzuri wakati wa ukoloni, na hakuwa mtoto wa chief.Mkoloni huyohuyo ALITOA ELIMU kwa watoto wa VIBARAKA WAKE na WATOTO WA MACHIFU aliokuwa "anashirikiana" nao kujinufaisha KIUCHUMI.....
Ni wapi mkoloni alitoa elimu njema na bora kwa WANANCHI WOTE wa lililokuwa KOLONI LAKE?!!!
Ni wapi mkoloni alijenga HOSPITALI BORA kwa wananchi WOTE?!!!
Nakukumbusha ya kwamba JIJINI DAR ES SALAAM hakukuwa na HOSPITALI kwa ajili ya WAZAWA Mpaka pale "mhindi" mmoja mwenye UTU alipoguswa na kuamua kutoa eneo kukajengwa KITUO CHA AFYA pale POSTA STESHENI ambako at least WAZAWA waliweza kupata PANADOL na DAWA YA VIDONDA GV....
Halafu baadaye sana ndio akatokea muhindi mwingine Mzalendo KUTUJENGEA pale SEWA HAJI(Leo muhimbili).
Hebu jiulize ni kwanini watoto wa MACHIFU Pekee ndio waliopata elimu kubwa:
1.Hayati Mwalimu NYERERE
2.Hayati Abdallah Fundikira
3.Hayati Hamza Mwapachu
4.Hayati Adam Sapi Mkwawa
5.Ukoo Wa kina Mirambo
6.Ukoo wa Marealle
7.Ukoo wa Sina na Meli
[emoji115][emoji115][emoji115]
Halafu zitazame familia hizo,je si familia za viwango vya JUU Mpaka LEO?!!!
Sent using Jamii Forums mobile app