Maneno Meier
JF-Expert Member
- May 12, 2013
- 2,466
- 1,700
Naona umejichanganya hapa kidogo.Kamara akiwa binti aliyezaliwa na wazazi wote wahamiaji waliotoka nje ya Marekani yaani Baba mwenye asili ya Jamaica na mama mwenye asili ya india alitoa hotuba kali sana huku akisifia Uzuri wa Marekani kuwa ukiwa na ndoto yeyote ile Marekani unaweza kuitimiza haijalishi unatoka familia gani, au wewe ni nani au umetoka kwenye background gani au ni mtu wa namna gani. Hii kwa Wamarekani wanaita American dream.
Kabudi lazima acheke si ameukwaa uwaziri!Yani mzee Lukuvi kaambiwa hawezi kuwa Rais na binadamu mwenzake na kabudi, badala wasikitike yenyewe inajichekesha tu!! Yaani hii nchi inabidi irudi kwa wakoloni watu wafunguke akili
Wanafunzi wale waligoma KULA MKATE bila SIAGI....Hao wanafunzi walikuwa na akili sana
Labda nikuulize tu Mwinyi alikuwa mtoto wa nani? Kawawa alikuwa mtoto wa nani?? Mkapa alikuwa mtoto wa nani??? Kambona alikuwa mtoto wa nani??? Sarakikya alikuwa mtoto wa nani?Mkoloni huyohuyo ALITOA ELIMU kwa watoto wa VIBARAKA WAKE na WATOTO WA MACHIFU aliokuwa "anashirikiana" nao kujinufaisha KIUCHUMI...
Kama hatukuweza kuwapa mkate na siagi Kama mkoloni kwa nini tuliharakisha kudai uhuru?Wanafunzi wale waligoma KULA MKATE bila SIAGI..
Yaani kitendo tukichokifanya juzi tumeishangazia dunia mno, kwamba sisi bado ni uncivilized people...kiasi tunahitaji kutawaliwa tena..Mkuu kwa hili nakubaliana nawe.
Hata ukiangalia South Africa aliyepata uhuru jana tu wako vizuri.
Tukubali tukatae tumefanya haraka ya kupata uhuru..
Kwani iko kwenye katiba ya CCM??Elezea na sbb ya kutowapa watu wa umri huo ugombea kupitia ccm maana aliisema, mbona umeikwepa ktk wasilisho lako? Kama watu hao wapo wanaweza tumia majukwaa mengine ku meet dreams zao kama BIDEN.
Mjerumani na Muingereza pamoja na kututawala kuanzia 1884...mpaka 1961....Wakoloni walichimba madini lakini walikumbuka kurudisha pesa katika kuendeleza jamii. Walijenga shule, hospitali, barabara, waliweka maji na umeme.
Ajira zilikuwepo kwani walifanya kilimo cha biashara na kuajiri vijana wengi tu.
Tusingepata uhuru 1961, 3/4 ya nchi ingekua na barabara za lami.
To every general rule there is an exception. Kwao kugombea ni haki kwa kila mwana CCM lkn kipaumbele itakuwa umri ili ku win umri wa majority of voters. That's is my understanding.Kwani iko kwenye katiba ya CCM??
Kwani kuondoka kwa WAKOLONI hiyo 61 kulitarajiwa na WAZAWA?
Kabla ya huo mkate na siagi WALIOULILIA kama watoto wadogo je MKOLONI waliompenda ALIWAJENGEA CHUO KIKUU na kuwapa "CHAI NA MIHOGO"?!!!Kama hatukuweza kuwapa mkate na siagi Kama mkoloni kwa nini tuliharakisha kudai uhuru??
Wanageuka kama mafisi,ulafi wanautanguliza,mbele,wale wenyewe na hats wanatamani wengine wafe njaa.Watu weusi hatukupaswa kuwai kujitawala. Kuna shida sana kwenye akili ya mtu mweusi.
Wakoloni walichimba madini lakini walikumbuka kurudisha pesa katika kuendeleza jamii. Walijenga shule, hospitali, barabara, waliweka maji na umeme.
Ajira zilikuwepo kwani walifanya kilimo cha biashara na kuajiri vijana wengi tu.
Tusingepata uhuru 1961, 3/4 ya nchi ingekua na barabara za lami.
Hivi nyie kila kitu kupinga? Kama huwezi kuona trend ya marais wa tz, utapingana na kauli ya JPM. Katika Tanzania baada ya Nyerere ni kuwa mtu kati ya 50-60 ndiye anaweza kuwa Rais. Tunaita cohort. Mfano cohort yetu, inamaliza na JPM na sasa kwa 2025 cohort ya urais ni akina mpuuzi Tundu Lissu et alInasikitisha kwa kweli
Utawala wa Magufuli umezalisha ajira ngapi za vijana?Mjerumani na Muingereza pamoja na kututawala kuanzia 1884...mpaka 1961....
Walijenga BARABARA MOJA TU....
Barabara MOJA TU...iliyokuwa inaunganisha TANGA-DAR-MOROGORO kwa ajili ya kuchukua ZAO LA MKONGE....
Mkoloni hakuacha AJIRA KWA VIJANA bali UKULI na BLUE COLLAR JOBS kwa kuhenyeshwa JUANI na KULIPWA Jaza ya CHAKULA baada ya KULIMIWA HEKA KWA MAHEKA ya mashamba.....
Wapi mkoloni aliwaacha VYEMA vibarua wa mashamba yake?!!!!!
Baba Wa Mababu zetu wametusimulia JINSI mjerumani alivyokuwa ANAWAPIGA MIJELEDI migongoni wakati wa KUIJENGA RELI YA MOSHI-TANGA...
Hebu niambie kama utawala wa MAGUFULI unawachabanga MIKIA YA TAA wajenzi wa SGR?!!!
Wakoloni walikuwa "wanawatafuna" bibi zetu vyovyote WAJISIKIAVYO....tena bila hata ya KUWALIPA "UJIRA" wa "utafunwaji huo" mifano ipo tele ukitaka nitaiweka HAPA....