Papy ndombe
JF-Expert Member
- Oct 24, 2020
- 3,761
- 4,559
Kabla ya huo mkate na siagi WALIOULILIA kama watoto wadogo je MKOLONI waliompenda ALIWAJENGEA CHUO KIKUU na kuwapa "CHAI NA MIHOGO"?!!!
Kwani wanaenda beba zege ikulu au akili ndo utakiwaHivi nyie kila kitu kupinga? Kama huwezi kuona trend ya marais wa tz, utapingana na kauli ya JPM. Katika Tanzania baada ya Nyerere ni kuwa mtu kati ya 50-60 ndiye anaweza kuwa Rais. Tunaita cohort. Mfano cohort yetu, inamaliza na JPM na sasa kwa 2025 cohort ya urais ni akina mpuuzi Tundu Lissu et al
Angalia trendKwani wanaenda beba zege ikulu au akili ndo utakiwa
Kuhusu sera za kijamaa ni kweli zinajulikana IMPACT YAKE KWETU....Tungekuwa mbali Sana sawa na latin america elimu afya ilikuwa bora. Alichokosea Nyerere ni kuleta ujamaa, ujamaa ukazalisha uvivu na umasikini. Angetembea na mfumo ule ule wa uchumi wa kikoloni
Thus akafuta vyama vingi kuepuka challengeHERI UKOLONI KULIKO UHURU...
hii inanikumbusha mwaka 1965 mgomo wa wanafunzi chuo kikuu DSM mwalimu nyerere alipoona Bango limeandikwa
HERI UKOLONI KULIKO UHURU mwalimu alifura na kuwa Mwekundu.
HERI UKOLONI WA WAZUNGU KULIKO CCM.
Haihalalishi kauli za mfalme wa leo .Mkoloni huyohuyo ALITOA ELIMU kwa watoto wa VIBARAKA WAKE na WATOTO WA MACHIFU aliokuwa "anashirikiana" nao kujinufaisha KIUCHUMI.....
Ni wapi mkoloni alitoa elimu njema na bora kwa WANANCHI WOTE wa lililokuwa KOLONI LAKE?!!!
Ni wapi mkoloni alijenga HOSPITALI BORA kwa wananchi WOTE?!!!
Nakukumbusha ya kwamba JIJINI DAR ES SALAAM hakukuwa na HOSPITALI kwa ajili ya WAZAWA Mpaka pale "mhindi" mmoja mwenye UTU alipoguswa na kuamua kutoa eneo kukajengwa KITUO CHA AFYA pale POSTA STESHENI ambako at least WAZAWA waliweza kupata PANADOL na DAWA YA VIDONDA GV....
Halafu baadaye sana ndio akatokea muhindi mwingine Mzalendo KUTUJENGEA pale SEWA HAJI(Leo muhimbili).
Hebu jiulize ni kwanini watoto wa MACHIFU Pekee ndio waliopata elimu kubwa:
1.Hayati Mwalimu NYERERE
2.Hayati Abdallah Fundikira
3.Hayati Hamza Mwapachu
4.Hayati Adam Sapi Mkwawa
5.Ukoo Wa kina Mirambo
6.Ukoo wa Marealle
7.Ukoo wa Sina na Meli
[emoji115][emoji115][emoji115]
Halafu zitazame familia hizo,je si familia za viwango vya JUU Mpaka LEO?!!!
Kukiwa na sera nzuri matatizo ya watu yanaangaliwa kwa sehemu wanazoishi. Mfano watu wa Chalinze wana shida ya maji, serikali inakaa chini na wawekezaji wakubwa wa Chalinze kuangalia jinsi watakavyo saidia wananchi. Sera ya ubepari ni wenye nacho husaidia wasiokua nacho. Ndiyo maana lile bakuli lenu huwa linajazwa na mnaowaita mabeberu.Kuhusu sera za kijamaa ni kweli zinajulikana IMPACT YAKE KWETU....
Bahati mbaya UKOLONI ulibebwa na UBEPARI NA SOKO HURIA...
UBEPARI ulihitaji KUWATWEZA nguvu wengine(kuwatumikisha mashambani bila ya kuwapa stahiki njema).
Wananchi wa NCHI ZOTE MAKOLONI....wengi wao WALIDAI UHURU kupitia SERA za kikomunisti na UJAMAA kwani ndio IMANI iliyokuwa INAUZIKA KIVITENDO dhidi ya UBEBERU+UBEPARI...
Na kumbuka zile nchi za KIKOMUNISTI ndizo zilizokuwa zinatoa misaada kwetu kutusaidia kushinikiza UHURU...(URUSI,CUBA NA ULAYA YA MASHARIKI).
UJAMAA ulikuwa ni IMANI isiyoepukika....
Jomo Kenyatta ALIIEPUKA kwa kuogopa KUHATARISHA maslahi yake kiuchumi.....Je sera za UBEPARI nchini KENYA zimekuwa ni MUAROBAINI wa watu "wote" hususani WANYONGE WENGI?!!!
Je huko KENYA wanyonge hao wana ARDHI?!??
Vipi hapa kwa MJAMAA Nyerere...hatumiliki ARDHI?!!!
Je ARDHI si jambo la THAMANI leo na MTONDOGOO?!!!
Mkoloni aendelee kukutawala wewe na wenye mawazo kama yako. Umri ni factor katika uongozi , kadri unavyokuwa mkubwa ndivyo na uwezekano (yamkini) unavyopungua, huo ni ukweli!Amani iwe nanyi.
Wakati Joe Biden akiwa ameshinda kiti cha Urais wa Marekani akiwa na miaka 78 Makamu wake mtarajiwa Bi Kamala Harris alitoa hotuba nzuri iliyosisimua watu wengi sana.
Kamala akiwa binti aliyezaliwa na wazazi wote wahamiaji waliotoka nje ya Marekani yaani Baba mwenye asili ya Jamaica na mama mwenye asili ya India alitoa hotuba kali sana huku akisifia Uzuri wa Marekani kuwa ukiwa na ndoto yeyote ile Marekani unaweza kuitimiza haijalishi unatoka familia gani, au wewe ni nani au umetoka kwenye background gani au ni mtu wa namna gani. Hii kwa Wamarekani wanaita American dream.
Hili limejidhihilisha kuanzia kwa Joe Biden hadi kwa Kamala Harris.
Kwa Joe Biden amekuja kushinda Urais wa Marekani akiwa na miaka 78, huku akiwa alishajaribu mara mbili huko nyuma kuwa Rais na kushindwa.
Kwa Kamala amekuwa Makamu wa Rais huku akiwa ni mtoto wa wahamiaji.
Ila kwa Tanzania leo hii Magufuli akiwa anahutubia baada ya kuwaapisha Majaliwa, Kabudi na Mpango amesema kitu ambacho kwa watu wenye akili ni jambo ambalo linahuzunisha na kuumiza sana.
Amesema watu walio na umri mkubwa kumzidi hawawezi kuwa Marais na hata kama wana hizo ndoto basi wazifute. Alienda mbele na kuwataja Lukuvi na Kabudi
Hii inamaanisha nini?
Hii inamaanisha kwa Tanzania chini ya Magufuli na CCM mtu hata akiwa na ndoto yake ya kuwa mtu fulani au kufanikisha jambo fulani basi hiyo ndoto yake hawezi kuifanikisha hadi ipate ridhaa ya watu fulani wenye uwezo wa kuamua hatma yake.
Hii ina maanisha pia kwa Watanzania ndoto zetu tulizonazo juu ya maisha yetu wala haziamuliwi na Mungu bali mtu mkuu anayechukua madaraka.
Kwa hali ni Bora Tanzania tungeendelea kutawaliwa na Wazungu mpaka tupate akili na kustaarabika ndio wangetuachia tujitawale.
Na kwa hali hii ndio maana hatutakuja kupata maendeleo ya kweli ya kwetu hadi pale tutakapojua na kukubaliana kuwa CCM ndio mchawi wa ustawi wa Tanzania.
Kwani kauli ya mh.Rais kuhusu hayo masuala ya umri IMEKUWA NI SHERIA inayotakiwa kufanyiwa amendment ndani ya KATIBA YETU?!!!Haihalalishi kauli za mfalme wa leo .
Nani aongoze taifa hili lilitakiwa kuwa jukumu la wananchi na si jukumu la kikundi kidogo cha watawala . Hata wasomi wa nchi hii nao wamewaangusha wananchi
Sawa....Kukiwa na sera nzuri matatizo ya watu yanaangaliwa kwa sehemu wanazoishi. Mfano watu wa Chalinze wana shida ya maji, serikali inakaa chini na wawekezaji wakubwa wa Chalinze kuangalia jinsi watakavyo saidia wananchi. Sera ya ubepari ni wenye nacho husaidia wasiokua nacho. Ndiyo maana lile bakuli lenu huwa linajazwa na mnaowaita mabeberu.
We sijui unasema nini ?!. Huyu bhuana alianza nyuma na si Leo . Alipowaambia wa Zanzibari wasimchagulie shikamoo wa kumuamkia dhidi yake. Alimaanisha hataki Seif awe Rais kwa kuwa akifanya naye shughuli atalazimika kumuamkia !!.Kwani kauli ya mh.Rais kuhusu hayo masuala ya umri IMEKUWA NI SHERIA inayotakiwa kufanyiwa amendment ndani ya KATIBA YETU?!!!
Ameongelea kama mwenyekiti wa chama...hayo ni Mambo ya CCM...ndio mana hakuwataja kina LIPUMBA na MAALIM SEIF bali wanaCCM wenzake kina LUKUVI NA KABUDI....
Hiyo kauli yake wala si SHERIA ndani ya CHADEMA na nadhani itabaki kauli BORA ya kuijenga "demokrasia" kwani IWAPO Kutakuwa na "WAZEE" wanaotaka nafasi hiyo kubwa na hawajaridhika na MANENO hayo basi ndio muda MUAFAKA waviunge mkono vyama Kama CHADEMA kwa kwenda HUKO ambako HAKUNA MANENO YA UKOMO WA UMRI KUGOMBEA...
MAREHEMU mzee Sitta alishindwa KUGOMBEA KITI chake kwa mara nyingime baada ya AKIDI YA NEC kuamua kuwa "kile" kilikuwa ni kipindi cha "kinamama" hatimaye YAKATOKEA yaliyotokea....[emoji23][emoji23]
[emoji115][emoji115][emoji115]
Usimlaumu mh. Magufuli,hayo alianza MH.KIKWETE....
Kwani MAKERERE kilijengwa na WAZAWA?!!!!Huwezi jenga chuo kikuu hakina wahitaji thus East Africa wote walipelekwa Makerere then london, sababu muitio wa watz kusoma ulikuwa Mdogo sana
Sawa...We sijui unasema nini ?!. Huyu bhuana alianza nyuma na si Leo . Alipowaambia wa Zanzibari wasimchagulie shikamoo wa kumuamkia dhidi yake. Alimaanisha hataki Seif awe Rais kwa kuwa akifanya naye shughuli atalazimika kumuamkia !!.
Ninachosema , ni kuwa aliye kwenye kiti hapaswi kuwachagulia wananchi ni nani wa kuwaongoza . Yametokea kwenye ubunge na sasa hadi u Rais wananchi hawana uwezo wa kumuweka wamtakaye bali chaguo la watawala.
Ila Watz wenzenu ambao wako USA kutimiza ndoto zao za kielimu na uchumi,kila siku mnawakashifu kuwa wananosha vyombo,mara hawajajenga nyumbaniNaona umejichanganya hapa kidogo.
Kamara Harris ndiyo mtu mwenye asili ya kijamaika na kihindi. Wazazi wake wote wawili ni wahamiaji na sio vingine. Yaani yeye ni citizen by Birth!
Mkuu....Utawala wa Magufuli umezalisha ajira ngapi za vijana?
Wakati wa mkoloni kilimo cha chai, maongezi,kahawa korosho, pamba, katani, tumbaku mazao yote haya yalizalisha ajira na wakulima walikua wana pa kuuzia mazao. Mkoloni hakuwahi kutuma wanajeshi wakapore korosho Kusini.
Mkoloni alijenga reli.
Amani iwe nanyi.