Wewe mwongo. Baba yangu alipata elimu nzuri wakati wa ukoloni, na hakuwa mtoto wa chief.Mkoloni huyohuyo ALITOA ELIMU kwa watoto wa VIBARAKA WAKE na WATOTO WA MACHIFU aliokuwa "anashirikiana" nao kujinufaisha KIUCHUMI.....
Ni wapi mkoloni alitoa elimu njema na bora kwa WANANCHI WOTE wa lililokuwa KOLONI LAKE?!!!
Ni wapi mkoloni alijenga HOSPITALI BORA kwa wananchi WOTE?!!!
Nakukumbusha ya kwamba JIJINI DAR ES SALAAM hakukuwa na HOSPITALI kwa ajili ya WAZAWA Mpaka pale "mhindi" mmoja mwenye UTU alipoguswa na kuamua kutoa eneo kukajengwa KITUO CHA AFYA pale POSTA STESHENI ambako at least WAZAWA waliweza kupata PANADOL na DAWA YA VIDONDA GV....
Halafu baadaye sana ndio akatokea muhindi mwingine Mzalendo KUTUJENGEA pale SEWA HAJI(Leo muhimbili).
Hebu jiulize ni kwanini watoto wa MACHIFU Pekee ndio waliopata elimu kubwa:
1.Hayati Mwalimu NYERERE
2.Hayati Abdallah Fundikira
3.Hayati Hamza Mwapachu
4.Hayati Adam Sapi Mkwawa
5.Ukoo Wa kina Mirambo
6.Ukoo wa Marealle
7.Ukoo wa Sina na Meli
[emoji115][emoji115][emoji115]
Halafu zitazame familia hizo,je si familia za viwango vya JUU Mpaka LEO?!!!
Sijasema kila mmoja alibebwa na "uchifu"....Wewe mwongo. Baba yangu alipata elimu nzuri wakati wa ukoloni, na hakuwa mtoto wa chief.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ninachojua ni kuwa shule zilikuwa chache, na mwamko wa wananchi wa kusoma ulikuwa chini sana.Sijasema kila mmoja alibebwa na "uchifu"....
Wako waliokuwa watoto wa WENYE UWEZO...
Wako waliokuwa watoto wa "waumini" wema wa KANISA....
WATOTO WA MALOFA walikuwa wachache mnoo tena mnooo....miongoni mwao atakuwa mzee wako!!
Nenda huko kwa wakoloni mfauate mwenzio mbwatukaji mkaishi na Hilo beberu lenu Amsterdam kwenyeWakoloni walichimba madini lakini walikumbuka kurudisha pesa katika kuendeleza jamii. Walijenga shule, hospitali, barabara, waliweka maji na umeme.
Ajira zilikuwepo kwani walifanya kilimo cha biashara na kuajiri vijana wengi tu.
Tusingepata uhuru 1961, 3/4 ya nchi ingekua na barabara za lami.
Wewe mtumwa wa ccm ndio umepembuka akili sio?! Pole sanaHujapembuka akili wewe mtumwa
Fiction au kweli?Wakoloni walichimba madini lakini walikumbuka kurudisha pesa katika kuendeleza jamii. Walijenga shule, hospitali, barabara, waliweka maji na umeme.
Ajira zilikuwepo kwani walifanya kilimo cha biashara na kuajiri vijana wengi tu.
Tusingepata uhuru 1961, 3/4 ya nchi ingekua na barabara za lami.
Fikra duni sana, ila kama wasemavyo wa tz, tuna uhuru wa kusema chochote Ali mradi usivunje sheria, ila siamini bado watu wana fikra hizi pamoja na mabibi zetu kubakwa, kufungwa minyororo, kugeuzwa imani na tamaduni, mababu kulawitiwa, kupitia mateso zaidi ya jehenamu na bado kuwaona hao makatili eti wa maana?! Wajuwa mali walizoiba ni nyingi kuliko walizowekeza kwa ajili ya kuzisafirisha?! Hawakuwekeza kwa ajili yetu bali kwenye sehemu wanazoana zitawasaidia kusafirisha mali za wizi?!Amani iwe nanyi.
Wakati Joe Biden akiwa ameshinda kiti cha Urais wa Marekani akiwa na miaka 78 Makamu wake mtarajiwa Bi Kamala Harris alitoa hotuba nzuri iliyosisimua watu wengi sana.
Kamala akiwa binti aliyezaliwa na wazazi wote wahamiaji waliotoka nje ya Marekani yaani Baba mwenye asili ya Jamaica na mama mwenye asili ya India alitoa hotuba kali sana huku akisifia Uzuri wa Marekani kuwa ukiwa na ndoto yeyote ile Marekani unaweza kuitimiza haijalishi unatoka familia gani, au wewe ni nani au umetoka kwenye background gani au ni mtu wa namna gani. Hii kwa Wamarekani wanaita American dream.
Hili limejidhihilisha kuanzia kwa Joe Biden hadi kwa Kamala Harris.
Kwa Joe Biden amekuja kushinda Urais wa Marekani akiwa na miaka 78, huku akiwa alishajaribu mara mbili huko nyuma kuwa Rais na kushindwa.
Kwa Kamala amekuwa Makamu wa Rais huku akiwa ni mtoto wa wahamiaji.
Ila kwa Tanzania leo hii Magufuli akiwa anahutubia baada ya kuwaapisha Majaliwa, Kabudi na Mpango amesema kitu ambacho kwa watu wenye akili ni jambo ambalo linahuzunisha na kuumiza sana.
Amesema watu walio na umri mkubwa kumzidi hawawezi kuwa Marais na hata kama wana hizo ndoto basi wazifute. Alienda mbele na kuwataja Lukuvi na Kabudi
Hii inamaanisha nini?
Hii inamaanisha kwa Tanzania chini ya Magufuli na CCM mtu hata akiwa na ndoto yake ya kuwa mtu fulani au kufanikisha jambo fulani basi hiyo ndoto yake hawezi kuifanikisha hadi ipate ridhaa ya watu fulani wenye uwezo wa kuamua hatma yake.
Hii ina maanisha pia kwa Watanzania ndoto zetu tulizonazo juu ya maisha yetu wala haziamuliwi na Mungu bali mtu mkuu anayechukua madaraka.
Kwa hali ni Bora Tanzania tungeendelea kutawaliwa na Wazungu mpaka tupate akili na kustaarabika ndio wangetuachia tujitawale.
Na kwa hali hii ndio maana hatutakuja kupata maendeleo ya kweli ya kwetu hadi pale tutakapojua na kukubaliana kuwa CCM ndio mchawi wa ustawi wa Tanzania.
Watu msikariri kauli..anaweza kusema na bado maRais wakawa ndo mmoja kati ya hao,kweni hua wana tangaza kua Rais ajaye ni fulani? Msiwe mnaweka maneno mengi kupita kiasi mnaacha kufanya kaziYani mzee Lukuvi kaambiwa hawezi kuwa Rais na binadamu mwenzake na kabudi, badala wasikitike yenyewe inajichekesha tu!! Yaani hii nchi inabidi irudi kwa wakoloni watu wafunguke akili
Unaweza kutawaliwa tu na Mkoloni kama alivyoamua Tundu Lissu kutawaliwa maana kupanga ni kuchagua na hakuna mtu anakuzuia kutawaliwaAmani iwe nanyi.
Wakati Joe Biden akiwa ameshinda kiti cha Urais wa Marekani akiwa na miaka 78 Makamu wake mtarajiwa Bi Kamala Harris alitoa hotuba nzuri iliyosisimua watu wengi sana.
Kamala akiwa binti aliyezaliwa na wazazi wote wahamiaji waliotoka nje ya Marekani yaani Baba mwenye asili ya Jamaica na mama mwenye asili ya India alitoa hotuba kali sana huku akisifia Uzuri wa Marekani kuwa ukiwa na ndoto yeyote ile Marekani unaweza kuitimiza haijalishi unatoka familia gani, au wewe ni nani au umetoka kwenye background gani au ni mtu wa namna gani. Hii kwa Wamarekani wanaita American dream.
Hili limejidhihilisha kuanzia kwa Joe Biden hadi kwa Kamala Harris.
Kwa Joe Biden amekuja kushinda Urais wa Marekani akiwa na miaka 78, huku akiwa alishajaribu mara mbili huko nyuma kuwa Rais na kushindwa.
Kwa Kamala amekuwa Makamu wa Rais huku akiwa ni mtoto wa wahamiaji.
Ila kwa Tanzania leo hii Magufuli akiwa anahutubia baada ya kuwaapisha Majaliwa, Kabudi na Mpango amesema kitu ambacho kwa watu wenye akili ni jambo ambalo linahuzunisha na kuumiza sana.
Amesema watu walio na umri mkubwa kumzidi hawawezi kuwa Marais na hata kama wana hizo ndoto basi wazifute. Alienda mbele na kuwataja Lukuvi na Kabudi
Hii inamaanisha nini?
Hii inamaanisha kwa Tanzania chini ya Magufuli na CCM mtu hata akiwa na ndoto yake ya kuwa mtu fulani au kufanikisha jambo fulani basi hiyo ndoto yake hawezi kuifanikisha hadi ipate ridhaa ya watu fulani wenye uwezo wa kuamua hatma yake.
Hii ina maanisha pia kwa Watanzania ndoto zetu tulizonazo juu ya maisha yetu wala haziamuliwi na Mungu bali mtu mkuu anayechukua madaraka.
Kwa hali ni Bora Tanzania tungeendelea kutawaliwa na Wazungu mpaka tupate akili na kustaarabika ndio wangetuachia tujitawale.
Na kwa hali hii ndio maana hatutakuja kupata maendeleo ya kweli ya kwetu hadi pale tutakapojua na kukubaliana kuwa CCM ndio mchawi wa ustawi wa Tanzania.
Ccm ndo imefanya upeo wako wa kufikiri uishie hapoUnaweza kutawaliwa tu na Mkoloni kama alivyoamua Tundu Lissu kutawaliwa maana kupanga ni kuchagua na hakuna mtu anakuzuia kutawaliwa
Kwani sasaivi hakuna watu wanaofanyiwa hivyo vitendo ukivyosema??? Roma Mkatoliki Mlimfanya nini?? Kina Erick kabendera, Nusrat hanje na tito Magoti hawajabambikiwa makesi??? Kwani Ccm hamuibi mali za wananchi????Fikra duni sana, ila kama wasemavyo wa tz, tuna uhuru wa kusema chochote Ali mradi usivunje sheria, ila siamini bado watu wana fikra hizi pamoja na mabibi zetu kubakwa, kufungwa minyororo, kugeuzwa imani na tamaduni, mababu kulawitiwa, kupitia mateso zaidi ya jehenamu na bado kuwaona hao makatili eti wa maana?! Wajuwa mali walizoiba ni nyingi kuliko walizowekeza kwa ajili ya kuzisafirisha?! Hawakuwekeza kwa ajili yetu bali kwenye sehemu wanazoana zitawasaidia kusafirisha mali za wizi?!
Nimeshangaa sana aise..
Hapo unajidhihirisha kwamba una shida kwenye akili. Njoo nyumbani kwangu ukatie ng'ombe majani ili nikutawaleWatu weusi hatukupaswa kuwai kujitawala. Kuna shida sana kwenye akili ya mtu mweusi.
“Watu weusi hatukupaswa kuwai kujitawala. Kuna shida sana kwenye akili ya mtu mweusi.”Watu weusi hatukupaswa kuwai kujitawala. Kuna shida sana kwenye akili ya mtu mweusi.
Tungekuwa mbali sn kuliko mkoloni CCMWakoloni walichimba madini lakini walikumbuka kurudisha pesa katika kuendeleza jamii. Walijenga shule, hospitali, barabara, waliweka maji na umeme.
Ajira zilikuwepo kwani walifanya kilimo cha biashara na kuajiri vijana wengi tu.
Tusingepata uhuru 1961, 3/4 ya nchi ingekua na barabara za lami.
Fikra duni sana, ila kama wasemavyo wa tz, tuna uhuru wa kusema chochote Ali mradi usivunje sheria, ila siamini bado watu wana fikra hizi pamoja na mabibi zetu kubakwa, kufungwa minyororo, kugeuzwa imani na tamaduni, mababu kulawitiwa, kupitia mateso zaidi ya jehenamu na bado kuwaona hao makatili eti wa maana?! Wajuwa mali walizoiba ni nyingi kuliko walizowekeza kwa ajili ya kuzisafirisha?! Hawakuwekeza kwa ajili yetu bali kwenye sehemu wanazoana zitawasaidia kusafirisha mali za wizi?!
Nimeshangaa sana aise..