Enzi hizo 90s Berlin ilikuwepo Homesexual Parade! Ila baada ya hiyo kunakuwa ya Heterosexual parade (Love Parade) pia. Sijui kama bado hizo parade zinaendelea. Zilikuwa zikifadhiliwa na kusimamiwa na kampuni iliyoitwa 123 Bühnenverleih ya Manfred Kluck.
Uzuri wa AIEnzi hizo 90s Berlin ilikuwepo Homesexual Parade! Ila baada ya hiyo kunakuwa ya Heterosexual parade (Love Parade) pia. Sijui kama bado hizo parade zinaendelea. Zilikuwa zikifadhiliwa na kusimamiwa na kampuni iliyoitwa 123 Bühnenverleih ya Manfred Kluck.
Mtoto wa kiume hawezi jirekebisha na baadae kulea watoto??Mtoto wa kike kahaba/kicheche coz baadae atakuja kujirekebisha, atasettle kulea watoto. Mbio za sakafuni kwa wanawake huishia ukingoni.
Kwani huyo mchele koka aishi na uanaume wake?? [emoji23][emoji23][emoji23]Bora wa kike, sababu kuu bado anauishi uanamke wake.. japo sio lengo la mzazi, ila afadhali yeye kuliko awe mchele koka
UNAFIKI.Kahaba anavumilika na kuzungumzika.... Ila shoga naweza kujikuta nimeenda jela kwa kesi ya mauaji
Kwani huyo mchele koka aishi na uanaume wake?? [emoji23][emoji23][emoji23]
Au alibadili jinsi?? Lol
Aibu ya maisha? Who cares? Unaishi kwa kuogopa aibu ya maisha? Serious??Ukahaba unaweza usiwe official, ukakuta kabinti kazuri tu lakini hakina bahati ya mwanaume mmoja na wala hajiuzi wala hana tamaa ya pesa
Yeye ana shughuli zake tu na hana matatzo yeyote ila akipata mwanaume anapiga alaf anaenda so hana wa permanent .. sasa akiwa wa hivi sawa tu ila nayeye ni kahaba vile vile
Ila shoga ni nishai mzee haibu ya maisha
Aliyekwambia khanithi mwanaume nani?Wala hiyo sio tafsiri, [emoji23][emoji23][emoji23]
Dhakar ndio uanaume, tena unakuta bado ina function haswaa.
[emoji23][emoji23][emoji23] km khanithi ni mwanaume, ndo iwe sengee??
Sasa uongo wangu upo wapi hapo? Hebu nielezee kwa upole usiniseme na elimu yangu ya hapa na pale...Wee ni Muongoo, hii theory umeitoa wapii? AMAZONI COLLEGE ya Mbezi Louis au??
[emoji23][emoji23][emoji23] Ila waja kwa kujifanya mnajua mambo, kumbe ni holla.
Lol