Ni heri upate mtoto wa kiume shoga au mtoto wa kike kahaba/kicheche?

Ni heri upate mtoto wa kiume shoga au mtoto wa kike kahaba/kicheche?

Aliyekwambia khanithi mwanaume nani?
Kama khanithi tu sio mwanaume inakuwaje huyu anaepandwa?
Mwanaume kazi yake kupanda sio kupandwa.
Ukipandwa tu sio mwenzetu we na mwajuma mkoleni tofauti inakuwa ni VIKOJOLEO tu
Unajua kuna wanaume wana panda na wanapandwa? Sasa km kigezo ni kupanda bas nao ni wanaume.

Labda hao khanithi coz hawapandi, [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kahaba hajabadilisha matumizi ya viungo vya mwili Kibailojia, ila shoga ile athari zake hata mwanamke mwenye mchezo ule anazipata .

Shoga kama mtoto wako wa kiume sio kichwa cha familia tena , ila mwanamke akiwa kabaha bado ni dada wa familia .
Shoga ilitakiwa kaka wa familia, mbona huwa mnatoa midhania tofauti ili hali mutoe kile mnachoona kinawafaa Lol
 
Unajua kuna wanaume wana panda na wanapandwa? Sasa km kigezo ni kupanda bas nao ni wanaume.

Labda hao khanithi coz hawapandi, [emoji23][emoji23][emoji23]
Akishapandwa tu, joti anasema baaaaaasi..
Yaani huyo si katika sisi..
 
% kubwa ya mademu/wake zetu ni makahaba ni vile tu msela hajafika bei.

kati ya wanawake 10 - 8 ni makahaba
Kati ya wanaume 10 - unaweza usipate Shoga labda uongeze Sample Space hadi 100.

Kwahiyo ukipata mtoto wa kike is likely 80% atakuja kuwa Kahaba ila ukizaa mtoto wa kiume ni around 0.2% kuwa GASHO.

Conclusion:So ilo la kwanza hauombi ila la pili ndiyo la kuomba Mungu lisitokee

1778065318915.png


Commenter Advisory: Explicit Content.
 
Hakuna ubora wowote hapo utasikia wengine bora mwizi.... Hamjakutana na wenye hao watoto

Ni tatizo hasaa
 
Back
Top Bottom