Ni hivi wanawake wanaliwa kimasihara kwa sababu hii

Ni hivi wanawake wanaliwa kimasihara kwa sababu hii

Huwezi pandisha abiria tu akiwa anashuka ukaweka mkono anapokaa ukamwambia maneno hayo uliyoyasema kwa sababu ni utomvu wa nidhamu. Inakuaje wewe ukitoka kwenye boda alafu huyo dada aweke mkono unapokalia aseme pa moto? Jifunzeni kuheshimu wanawake hata kama hajieshimu.

Kuna mshikaji wangu alimtia kidole baamedi baa, yule dada akaenda kushtaki polisi jamaa alikaa gerezani miezi sita. Marekani au nchi zilizoendelea mambo kama haya unafungwa. .
 
Wakuu ndugu zangu

Ni kwa yale maneno ambayo mwanaume anachomekea kama masikhara, mfano ktk kazi.

Unafanya kazi ya boda mwanamke kashuka kwene chombo, unafanya kama umeshika kiti pale alipo kaa alaf wajisemea akiwa anakusikia aisee nusu kiti kiunguwe inalekea nanii ako ni so hot, akicheka cheka wajuba wanakula

Vile vi maneno vya masihara na kujizima data wanawake hunasa kizembe sana, Mfano mi nilishawah msifia tu manzi mmoja. portable anatakro lain mnoo aisee Alipita karib nilipokuwa nimeka nikajizima data nikamwambia nijuavyo, nilimla ban alipokosea kunipa namba

Mwingine kavaa nguo imechora kitumbua chote nikakizoom mpaka akaona aibu nikamsifia kwa maneno mazito adi saiv ananiita bae kosa ni kunipa namba na nishamla

Awa viumbe hawapo sirias kama tunavo waona
Mkuu Wanawake siku hizi ndiyo wawindaji wakuu, umewekewa mtego na kweli ukanasa!!

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Alafu ukimpa zawadi kabla ya kuchujua nguoo n kyupi...huwa wanafurahii na kufika juu ya mlima Kilimanjaro mapemaa ATA 3 times before men
Tena present yenyewe iwe something u can both unwrap🤣🤣🤣🤣
 
Kwamba niki- apply hizo mbinu zako kwa huyu mke wa jirani yangu nitamls kimasihara nini!?
 
Kuwin moyo wa mwanamke its so simple, i wonder how many people hustle, ukiwa na hizi alpha male behaviour, i tell you Watakuganda utakuwa unawakimbia.
Ebu fanya kuziainishs hizo alpha- male traits hapo tuanze kizifanyiw kazi mkuu.
 
Sema wee manzi unajikutaga spesho Sana ..Ila lazima Kuna muuni mwenzetu uko atakuwa anapiga tu fresh Yani..😀😀😀
Yupo muhuni anajipigia kila akitaka

Sina uspesho wa kusema huwa sikazwi
 
Kuna aina fulani ya mtongozo ukiambiwa, inakupa picha ya aina ya mwanaume na mwanaume waliokutanisha vikojoleo...

Imagine mwanamke anaachia goli kisa kasifiwa mahali alipokaa kwenye siti ya boda pamepatikana na joto soon baada ya kunyanyuka kwa siti...just imagine hiyo type ya mwanamke
 
Hahaha unaweza kusema mleta mada katunga alichoandika

Hivi inawezekanaje usifie joto la mtu aliponyanyuka halafu huyo mtu akakutunuku?
 
Hahaha unaweza kusema mleta mada katunga alichoandika

Hivi inawezekanaje usifie joto la mtu aliponyanyuka halafu huyo mtu akakutunuku?

Just imagine Jo...

Ndio maana wanasema kila pipa na mfuniko wake...
 
Back
Top Bottom