Ni hujuma kwa nchi za Kiarabu katika AfCON hii

Umeongea upuuzi
 
Nyie hata Argentina alivyoshinda mlisema ni hujuma za FIFA.

Messi alivyo chukua Ballon d'Or mkasema ni hujuma za FIFA kijana wa FIFA anapendelewa.

Timu zote hizo kubwa kutolewa AFCON, Je wakubwa wa hizo timu hawapo kwenye kamati ya CAF?

Kocha wa Tanzania alidai Morroco inabebwa na CAF, Haya kiko wapi?

Morocco knocked out pamoja na kubebwa.

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Unaowatetea sasa walivyowabaguzi nenda uone comments zao full kupost masokwe sio kwa wacongo sio kwa wasouth,,,hawa walishasema wao sio waAfrica,,hawakutakiwa hata kushiriki Afcon!
Tuletee hizo post tuzione hapa.
 
Morocco walishasema kuwa wao siyo Wa African kwa hiyo watuachie ligi yetu! Waende wakacheze ASIA CUP huko QATAR bado inaendelea na Warabu wenzao.
Watuachie AFRICA CUP yetu.
 
Motsepe achunguzwe..[emoji41]
 
Bwege kweli wewe. So watu wake hawajui dhambi? Na hao watu wake kaanza kuwafahamu lini? Usilelete upuuzi wako hapa allah. Uandike kwa akili dogo. Nyie ndo mnaharibu taswira ya nchi hizi.
Unanjua Alah unansikia??? Kaamua warabu wenzake wafe
 
Tunajivunia kuwa waarabu, hatushiriki tena hayo mashindano ya AFCON. Waafrica tuna laana.
 
Cape Verde ni nchi ya kiarabu?
 
Morocco walishasema kuwa wao siyo Wa African kwa hiyo watuachie ligi yetu! Waende wakacheze ASIA CUP huko QATAR bado inaendelea na Warabu wenzao.
Watuachie AFRICA CUP yetu.
Kusema wa Morocco siyo waafrica ni sahihi kabisa. Siyo kila anayezaliwa na kuishi Africa ni mwaafrika. Sema nchi yao iko bara la Africa. Hata wale wa Jamaica na Haiti siyo wazungu ni waafrica walio nje ya Africa.
 
Mwingine kichwa panzi huyu hapa, Morocco ni African country kwa sababu nchi yao ipo bara la Africa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…