Ni hujuma kwa nchi za Kiarabu katika AfCON hii

Naona mpira wa waafrika umerudi Afrika !!!
 
Watu wengine mnatumia nn kufikiria??
 
Viwango vya mpira timu za Africa hatupishani sana
 
Kwa hiyo Hakimi alipokea maelekezo ya kupaisha penalty pia?

Na wachezaji wa Morocco walielekezwa wasifunge?

Kwani sijaona goal lililokataliwa.
Hivyo nashindwa kuelewa hayo maelekezo yalitekelezwa na nani
 
Hujamwelewa,huyu chizi ni wa dini ya PAPA(wazee wa kubarikiwa). Sasa anawananga waarabu akiwashabihisha na dini ya mnyaazi Mungu
 
Tuliwahi kutamba kwamba haiwezekani Lesotho kanchi kadogo kaishinde Tanzania. Matokeo yake tuliyaona. Kama mpira utapimwa kwa idadi ya watu, India ndio wangekuwa mabingwa katika mchezo huo. Mpira pia hauna uhusisno na dini au rangi ya wachezaji.
 
Soccer lilikua Live. Sio kama Tatu Mzuka wanachezeaha wakina Kajala sisi tunapewa matokeo. Tumeona ufundi adharani kabisa.

EPL jana Lutton nafasi ya 17 kampiga mtu 4 bila alie nafasi ya 8 (juu ya Manchester United)
 
Hivi uzi kama huu unaendelea kukaa humu Rubbish kabisa.Kajitoe mhanga uwatete waarabu
 
Chizi karogwa Tena.....
 
Usilete uislamu kwenye michezo... Kwanza mpira ni dhambi.. si ulisemaga hivyo siku unatoa hutuba masjidi kibiti pale..
 
Hivi, Simba SC kiliikuta kitu gani vile?!🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Mleta mada ni mwarabu analeta udini na ubaguzi Kwenye soko.
Say no to racism in football .
Uwezo wa Hizo timu za kiarabu ni wakawaida tu sio ajabu.
Mechi ya mwisho kukutana South Africa alimpiga Morocco 2-1 pale jhb .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…