Kwani si tulikubaliana huyo Kayoko amefungiwa baada ya kuwahujumu kwenye mechi iliyopita kwa kuuruhusu mpira uliotoka kurudishwa ndani na Camara, na Kijili kutia kamba!TFF wamekosea sana mechi ya tar 8 refa wa kati kuwa Kayoko.
Kayoko ana madhaifu mengi kwanini wasimlete Arajiga kwa mechi kama hii?
Kayoko tangu derby iliyopita kachezesha mechi moja tu wiki zilizopita,mda huo wote aliwekwa benchi na kamati ya marefa baada ya kuona mapungufu yake kwenye derby iliyopita,leo analetwa tena achezeshe.
Huyu refa anafaa kuchezesha Dondo cup na siyo ligi kuu
Hili jukwaa ni kwa ajili ya michezo, kutaniana kama watani wa jadi, wanamichezo, nk.Mnafiki mkubwa wewe mkunduni
Nyie mlisema kafungiwa sasa kelele za nini.TFF wamekosea sana mechi ya tar 8 refa wa kati kuwa Kayoko.
Kayoko ana madhaifu mengi kwanini wasimlete Arajiga kwa mechi kama hii?
Kayoko tangu derby iliyopita kachezesha mechi moja tu wiki zilizopita,mda huo wote aliwekwa benchi na kamati ya marefa baada ya kuona mapungufu yake kwenye derby iliyopita,leo analetwa tena achezeshe.
Huyu refa anafaa kuchezesha Dondo cup na siyo ligi kuu
Source ya hii taarifa yako?TFF wamekosea sana mechi ya tar 8 refa wa kati kuwa Kayoko.
Kayoko ana madhaifu mengi kwanini wasimlete Arajiga kwa mechi kama hii?
Kayoko tangu derby iliyopita kachezesha mechi moja tu wiki zilizopita,mda huo wote aliwekwa benchi na kamati ya marefa baada ya kuona mapungufu yake kwenye derby iliyopita,leo analetwa tena achezeshe.
Huyu refa anafaa kuchezesha Dondo cup na siyo ligi kuu
Ona mburura hii yaani mijitu mingine kama mikimbiziMbumbumbu mnalalamika kama watoto wa nje ya ndoa
Leta timu chezeni mpira
Kayoko ndo Kijili aliyefunga goli
Na Kayoko anasema wewe unafaa kufuatilia ndondo cup na sio ligi kuuHuyu refa anafaa kuchezesha Dondo cup na siyo ligi kuu
Ikifika saa 3 usiku, mtakuja hapa kumkataa huyu huyu.Kayoko siyo kabisa,Hiyo mechi apewe Aragija ndiyo refa pekee aliyebaki hapa bongo mwenye sifa na uwezo wa kuamua,
Hata ukiangalia ile mechi ya simba na azam alijitahidi sana ila kayoko kuamua gem ya derby si sawa