Dabil
JF-Expert Member
- Sep 30, 2021
- 6,823
- 15,293
TFF wamekosea sana mechi ya tarehe 8 refa wa kati kuwa Kayoko.
Kayoko ana madhaifu mengi kwanini wasimlete Arajiga kwa mechi kama hii?
Kayoko tangu derby iliyopita kachezesha mechi moja tu wiki zilizopita,mda huo wote aliwekwa benchi na kamati ya marefa baada ya kuona mapungufu yake kwenye derby iliyopita,leo analetwa tena achezeshe.
Huyu refa anafaa kuchezesha ndondo cup na siyo ligi kuu