Ni hujuma Ramadhani Kayoko kuchezesha derby

Ni hujuma Ramadhani Kayoko kuchezesha derby

Dabil

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2021
Posts
6,823
Reaction score
15,293
TFF wamekosea sana mechi ya tarehe 8 refa wa kati kuwa Kayoko.

Kayoko ana madhaifu mengi kwanini wasimlete Arajiga kwa mechi kama hii?

Kayoko tangu derby iliyopita kachezesha mechi moja tu wiki zilizopita,mda huo wote aliwekwa benchi na kamati ya marefa baada ya kuona mapungufu yake kwenye derby iliyopita,leo analetwa tena achezeshe.

Huyu refa anafaa kuchezesha ndondo cup na siyo ligi kuu
 
Kayoko ni kijana mdogo si jambo la busara kumpa mechi nyingine ya Yanga na Simba kwa sasa kwakua endapo Simba
atapoteza mechi watapata kichaka cha ku msingizia Kayoko na ita mletea taabu katika maisha yake ya urefa.

Hivi karibuni Kibu na Kapombe wamekua na tabia za kujiangusha ili wapewe Penalty.

Mechi iliyopita alichezesha vizuri ila kwakua Simba walipoteza na hawakua na waku mshutumu zaidiya kayoko.

Kama utarudia kuangalia ile mechi bado unaona alichezesha vizuri na Simba alistahili kufungwa.

Simba wamezoea kubebwa mechi ya nyuma yake alichezesha Heri Sasi uyu ndio hafai kabisa kuchezesha maana katika mechi ile Simba alistaili kufungwa si chini ya Goli nne, yeye Heri sasi peke yake alizikataa goli mbili safi.

Nawa shauri Bodi ya Ligi mechi apewe Arajiga ingawa katika mechi iliyopita kuna baadhi ya matukio nyeti aliyafunbia macho.

Rafu walizokua wakicheza Ngoma na Kagoma zilistaili Yellow na kwakua zilikua zikijirudia zilistail RED.

Nategemea Derby ijayo kama Arajiga atasimama kati kisiwe na kung'ata filimbi kwa kuyafumbia macho makosa ni kupiga Kadi.

Kuna Baadhi ya wachezaji wanapenda kujiangusha ili wapewe Penalty, naomba marefa wawafuatilie kwenye mechi tano za Nyuma wata wafahamu ao Refa si wakuwachekea watakuharibia kibarua chako ni ku piga Yellow mapema.

Kabla ya mchezo kuanza refa umweleze mchezaji mwenye tabia iyo akijiangusha bila faul nikulambwa kadi.
 
Ukiona hivyo ujue kabisa yanga wanajua hamuezi Simba ila huwa kayoko ndio anawapa matokeo..nawenywe wanatoka wanajisifia wameshinda

Ndio maana watu wanasema makombe mengi aliochukua yanga ligi kuu kayoka na waamuzi wengine anazo zake 15...sio uwezo wa yanga..
 
Huyu dogo wanamtengenezea mazingira magumu ya usalama wake kimwili na kiroho.
 
images (3).jpeg
 
TFF wamekosea sana mechi ya tar 8 refa wa kati kuwa Kayoko.

Kayoko ana madhaifu mengi kwanini wasimlete Arajiga kwa mechi kama hii?
Kayoko tangu derby iliyopita kachezesha mechi moja tu wiki zilizopita,mda huo wote aliwekwa benchi na kamati ya marefa baada ya kuona mapungufu yake kwenye derby iliyopita,leo analetwa tena achezeshe.

Huyu refa anafaa kuchezesha Dondo cup na siyo ligi kuu
Kwani si tulikubaliana huyo Kayoko amefungiwa baada ya kuwahujumu kwenye mechi iliyopita kwa kuuruhusu mpira uliotoka kurudishwa ndani na Camara, na Kijili kutia kamba!
 
TFF wamekosea sana mechi ya tar 8 refa wa kati kuwa Kayoko.

Kayoko ana madhaifu mengi kwanini wasimlete Arajiga kwa mechi kama hii?
Kayoko tangu derby iliyopita kachezesha mechi moja tu wiki zilizopita,mda huo wote aliwekwa benchi na kamati ya marefa baada ya kuona mapungufu yake kwenye derby iliyopita,leo analetwa tena achezeshe.

Huyu refa anafaa kuchezesha Dondo cup na siyo ligi kuu
Nyie mlisema kafungiwa sasa kelele za nini.
 
Kayoko siyo kabisa,Hiyo mechi apewe Aragija ndiyo refa pekee aliyebaki hapa bongo mwenye sifa na uwezo wa kuamua,
Hata ukiangalia ile mechi ya simba na azam alijitahidi sana ila kayoko kuamua gem ya derby si sawa
 
Mm nashauri hii mechi isiwe na refa wa kati, mana kwa vyovyote vile lazima mmoja wao apige yowe 😎
 
TFF wamekosea sana mechi ya tar 8 refa wa kati kuwa Kayoko.

Kayoko ana madhaifu mengi kwanini wasimlete Arajiga kwa mechi kama hii?
Kayoko tangu derby iliyopita kachezesha mechi moja tu wiki zilizopita,mda huo wote aliwekwa benchi na kamati ya marefa baada ya kuona mapungufu yake kwenye derby iliyopita,leo analetwa tena achezeshe.

Huyu refa anafaa kuchezesha Dondo cup na siyo ligi kuu
Source ya hii taarifa yako?
 
Kayoko siyo kabisa,Hiyo mechi apewe Aragija ndiyo refa pekee aliyebaki hapa bongo mwenye sifa na uwezo wa kuamua,
Hata ukiangalia ile mechi ya simba na azam alijitahidi sana ila kayoko kuamua gem ya derby si sawa
Ikifika saa 3 usiku, mtakuja hapa kumkataa huyu huyu.
 
Back
Top Bottom