Nyendo
JF-Expert Member
- Jun 4, 2017
- 1,336
- 4,731
Dhana potofu ni imani zinazojengeka kwenye jamii ambazo si za kweli. Dhana hizi hurithishwa kwa vizazi na watoto hufahamishwa tangu wakiwa na umri mdogo.
Mfano wa dhana potofu ni ugonjwa wa mabusha "Hydrocele" kusababishwa na unywaji wa maji ya madafu.
Je, imani ipi potofu unaijua kwenye jamii yako na inaweza kumalizwa kwa namna gani?