Kawaida tu mkuu, baadhi yao zinaonyesha muvi na cartoons. Ila ingependeza na sisi televisions zetu (TZ Mux) zingehamia kwenye hii satellite kwani inapatikana kirahisi ukilinganisha na 46° eastHivi Mkuu hizi chanali za kisomali zina maajabu ili na mimi niziset?
Naielewa hiyo ipo poa sana.. kuna ile law of the heart, mule ofisini wahudumu visuuu!Hawa Telemundo wana mikwaju mikali ya kicolombia. Ila Way to paradise ni konyo.
Mkuu unatumia box ipi, kindly assist. Nilikuwa natumia alpha box X6 Ila ilinizingua, then fundi wangu bahati mbaya sana amefariki. I have no one I know anayeweza kunipa assist coz kuset 8' dish kwa mafundi wa DStv na Azam TV mtakesha.Nipo naangalia FTA, NSS-12
Hornsat's sport 4
Natumia Smart android TV ambaye Ina dekoda ndani ( inbuilt decorder)Mkuu unatumia box ipi, kindly assist. Nilikuwa natumia alpha box X6 Ila ilinizingua, then fundi wangu bahati mbaya sana amefariki. I have no one I know anayeweza kunipa assist coz kuset 8' dish kwa mafundi wa DStv na Azam TV mtakesha.
Iyo Discovery ID ni moto sanaa, una tazama kesi za mauaji uko USA mpaka unaweza ukasema sitokwenda USADiscovery
Investigation Discovery ID
National Geographic
E!
Super Sport 223Habari wakuu!
Kuna zaidi ya channels 100 karibia katika kila King'amuzi
Kwangu mimi mtumiaji wa DStv japo tunakosa uhondo wa channel za nyumbani lakini moja kati ya channel zangu Bora ni Maisha Magic East & Maisha Magic Bongo. Ukiondoa na chanel za michezo, basi utanikuta kwenye channel za movies labda kwakuwa mimi napenda sana movies.
Hebu tushirikishane, ni channel gani unaikubali na kwanini?