Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 51,453
- 41,274
Kila chama cha siasa kilichoanzishwa nchini, kina itikadi, agenda na falsafa yake ya kufikia malengo yake.
Je,
Kulikoni sasa chadema hua wanaona wivu dhidi ya kuimarika na kushamiri kwa vyama vingine vya siasa vyenye malengo yasiyo fanana na yao, na kukerwa sana na maendeleo ya kisiasa kwa vyama hivyo vya siasa nchini?
Ni ipi hasa hua sababu ya msingi kwa Chadema kupata mihemko, makasiriko na kuchukia vyama vingine vya siasa nchini vyenye agenda zao, vinapotumia haki na uhuru wao wa kikatiba kuamua mambo yao au kufanya siasa kadiri wanavyoona inafaa?🐒
Mungu Ibariki Tanzania