Ni ipi hasa hua sababu ya msingi kwa Chadema kuchukia vyama vingine huru vya siasa nchini?

Nadhani watakuwa wamerithi CCM hayo!
 
na hii ikimanisha chadema haipendi kabisa na wala haitaki kuona watu wanakua huru na wanakua na haki ya kuanzisha vyama vya siasa kadiri wapendavyo, right?
Kama una akili bila ushabiki maandaz wa chama.. huez kua na democracy halisi kweny vyama karibu 20❌ weka vyama viwili then vichuane!! Jambo ambalo CCM wanaliogopa kama ukoma
 
hayo ndio miongoni mwa malengo ya kuanzishwa kwa chadema?
nani sasa mwenye akili timamu atajiunga na lichama lenye chuki namna hiyo zaidi ya wafuata mkumbo pekee?
Hapa umerud kweny ushabiki maandaz wa chama!!❌
 
Kama una akili bila ushabiki maandaz wa chama.. huez kua na democracy halisi kweny vyama karibu 20❌ weka vyama viwili then vichuane!! Jambo ambalo CCM wanaliogopa kama ukoma
kwanini vyama viwili?
maana yake hutaki watu wawe huru na wenye haki kuamua wapendavyo right?

kwani demokrasia ni kua na vyama viwili tu?
au ndivyo demokrasia ya chadema ilivyo?
 
Unajua kujijikakamua, pamoja na kuungwa kwako na Asilimia_0.00,umo tuu! Kweli zimefyatuka za aibu!
 
kwanini vyama viwili?
maana yake hutaki watu wawe huru na wenye haki kuamua wapendavyo right?

kwani demokrasia ni kua na vyama viwili tu?
au ndivyo demokrasia ya chadema ilivyo?
Sikiliza ewe mbumbumbu ambae unajua ukweli but kwaajili ya pesa unajitoa akili.... Mimi sio hao CDM then ili kupata upinzani sahihi hasa bongo ilitakiwa mnyukano uwe wa CDM na CCM tu cz vyama vingine ni vyama shikizi na pandikizi!! Imagine kiongozi wa chama cha upinzani anasema atampigia kampeni mgombea wa ccm. Na huu upupu unaujua vzr tu
 
Vyama gani huru viongozi wake hawatekwi, hawauwawi, hawafungwi jera, hawasingiziwi kesi za hovyo, wanapewa ulinzi na serikali?.
 
Chadema haina tatizo na mtu yoyote sijui kwanini hichi chama kinafananishwa na gange la wahuni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…