denoo JG
JF-Expert Member
- Oct 27, 2023
- 2,701
- 9,759
- Hapa namzungumzia Dr. Slaa sio Lowassa, sasa uniambie kwanini Dr. Slaa apewe ulinzi na TISS? yeye ni nani?Pamoja na Kuhamia CHADEMA Lowasa Bado aliendelea kuwa na ulinzi wa TISS
Thibitisha kuwa gharama za hoteli alilipiwa na ccm
- Sijui unataka uthibitisho upi tena, nimekwambia mwenzie waliehongwa nae alikwenda kula bata Rwanda, yeye kwa ubahili wake akaamua kujibanza hapa bongo, sijui huelewi kitu gani!.
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app