Makonde plateu
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 1,443
- 3,480
Tafuta helaHabari zenu jamani naulizia hospitali gani nzuri ya serikali kwa Dar es salaam ambayo inatoa huduma ya kutahiri watoto wa kiume. Nipo na watoto wawili mmoja miaka 9 mwingine miaka 7 nataka watahiriwe wiki hii.
Niligoogle namba za Dk. Juma wa Kariakoo wanamsifu sana lakini bei zake zimechangamka. Sh elfu 60 kwa kila mtoto jumla laki na 20 sina hiyo pesa.
Je kwenye kila hispitali ya serikali hiyo huduma huwa inakuwepo? Naishi Chanika