Ni ipi hospitali nzuri ya serikali ya kutahiri mtoto wa kiume kwa Dar es Salaam?

Habari zenu jamani naulizia hospitali gani nzuri ya serikali kwa Dar es salaam ambayo inatoa huduma ya kutahiri watoto wa kiume. Nipo hna watoto wawili mmoja miaka 9 mwingine miaka 7 nataka watahiriwe wiki hii.

Niligoogle namba za Dk. Juma wa Kariakoo wanamsifu sana lakini bei zake zimechangamka. Sh elfu 60 kwa kila mtoto jumla laki na 20 sina hiyo pesa.

Je kwenye kila hispitali ya serikali hiyo huduma huwa inakuwepo? Naishi Chanika
Njoo huku ni 20k mmoja
 
Habari zenu jamani naulizia hospitali gani nzuri ya serikali kwa Dar es salaam ambayo inatoa huduma ya kutahiri watoto wa kiume. Nipo na watoto wawili mmoja miaka 9 mwingine miaka 7 nataka watahiriwe wiki hii.

Gharama ya kawaida hiyo
 
Awe kwanza mjumbe.
Inabidi tuanze kuwa na party za wana jf tunaoishi kigamboni😂😂
Sawa, atahudumu kwenye ujumbe kwa miaka mi3, tumuone mwenendo wake.

Wazo zuri, itabidi iwe hivyo.
 
Habari zenu jamani naulizia hospitali gani nzuri ya serikali kwa Dar es salaam ambayo inatoa huduma ya kutahiri watoto wa kiume. Nipo na watoto wawili mmoja miaka 9 mwingine miaka 7 nataka watahiriwe wiki hii.

Niligoogle namba za Dk. Juma wa Kariakoo wanamsifu sana lakini bei zake zimechangamka. Sh elfu 60 kwa kila mtoto jumla laki na 20 sina hiyo pesa.

Je kwenye kila hispitali ya serikali hiyo huduma huwa inakuwepo? Naishi Chanika
Ndio.. bei ni hiyo hiyo....mtoto anafanyiwa vizuri bila manundu manundu
 
angesubiri june, kule tarime kuna msimu wa kutahiri, kule unatahiriwe kiume, sasa atairiwe hospital atakuwaje mwanaume rijari, akiona paka tu huyo ndani
 
Back
Top Bottom