Ni ipi hospitali nzuri ya serikali ya kutahiri mtoto wa kiume kwa Dar es Salaam?

Ni ipi hospitali nzuri ya serikali ya kutahiri mtoto wa kiume kwa Dar es Salaam?

Miaka 13? Mbona mbali sana Mkuu, mm nilitahiriwa nikiwa na Miaka mitano.

Nadhani mtoto akitahiriwa akiwa Bado mdogo anapona mapema kidonda sababu anakuwa Bado hajakomaa sana.
Waswahili Wanasema sio vizuri kufanya mapema sana,
 
Habari zenu jamani naulizia hospitali gani nzuri ya serikali kwa Dar es salaam ambayo inatoa huduma ya kutahiri watoto wa kiume. Nipo na watoto wawili mmoja miaka 9 mwingine miaka 7 nataka watahiriwe wiki hii.

Niligoogle namba za Dk. Juma wa Kariakoo wanamsifu sana lakini bei zake zimechangamka. Sh elfu 60 kwa kila mtoto jumla laki na 20 sina hiyo pesa.

Je kwenye kila hispitali ya serikali hiyo huduma huwa inakuwepo? Naishi Chanika
Wapereke Taarime. Kutahiri bure Kabisa mura ni ujasiri wako mura
 
Kuna tofauti gani kati ya kuvalishwa pete na kushonwa?
Uponaji wa Pete ni haraka na mtoto anakuwa anavaa nguo kama kawaida.
Uponaji wa kushona ni taratibu na unahitaji hewa, mtoto anavaa kanga au nguo za kumpatia hewa maana anakuwa na bandage
 
Habari zenu jamani naulizia hospitali gani nzuri ya serikali kwa Dar es salaam ambayo inatoa huduma ya kutahiri watoto wa kiume. Nipo na watoto wawili mmoja miaka 9 mwingine miaka 7 nataka watahiriwe wiki hii.

Niligoogle namba za Dk. Juma wa Kariakoo wanamsifu sana lakini bei zake zimechangamka. Sh elfu 60 kwa kila mtoto jumla laki na 20 sina hiyo pesa.

Je kwenye kila hispitali ya serikali hiyo huduma huwa inakuwepo? Naishi Chanika
Subiri akuekue hadi 15 then mpeleke Ukuryani
 
Mwache hadi iwe kubwa siku hz ke wanataka iwe ndefu na nene vinginevyo watamwita kibamia
 
Back
Top Bottom