Makonde plateu
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 1,443
- 3,480
Tafuta helaHabari zenu jamani naulizia hospitali gani nzuri ya serikali kwa Dar es salaam ambayo inatoa huduma ya kutahiri watoto wa kiume. Nipo na watoto wawili mmoja miaka 9 mwingine miaka 7 nataka watahiriwe wiki hii.
Niligoogle namba za Dk. Juma wa Kariakoo wanamsifu sana lakini bei zake zimechangamka. Sh elfu 60 kwa kila mtoto jumla laki na 20 sina hiyo pesa.
Je kwenye kila hispitali ya serikali hiyo huduma huwa inakuwepo? Naishi Chanika
Lugalo TPDF kijeshi, bila ganzi 😆
Naam, akatahiriwe kijeshi jeshi, bila ganzi 😁Lugalo TPDF HOSPITAL
🥺🥺 Mluguru nini weweNitahiri mtoto wa nini wakati mimi bado nina.......au basi
Kuna tofauti gani kati ya kuvalishwa pete na kushonwa?Huwa wapo vizuri, kwa huku kigamboni hospitali ya kibugumo kuna daktari mzuri, yeye anashona havalishi Pete. Bei 15,000 tu
Nlishaenda pale hata huduma zao za kawaida ni nzuriHuwa wapo vizuri, kwa huku kigamboni hospitali ya kibugumo kuna daktari mzuri, yeye anashona havalishi Pete. Bei 15,000 tu
😀 Ganzi wanayo Mkuu. UsiogopeNaam, akatahiriwe kijeshi jeshi, bila ganzi 😁
Kajamaa kapi, eh usisite, nije kufanya kazi yanguNasubiri haka kajamaa kafikishe Miaka 6 tu uje ufanye kazi yako. Manka
Odo wakoKajamaa kapi, eh usisite, nije kufanya kazi yangu
Nitafute Nikuelekeze Vizuri na Bei itakuwa Chini ya Hapo Ni kama 50 au 60 kwa wote wawili na Unapelekwa hospitali ya SerkaliHabari zenu jamani naulizia hospitali gani nzuri ya serikali kwa Dar es salaam ambayo inatoa huduma ya kutahiri watoto wa kiume. Nipo na watoto wawili mmoja miaka 9 mwingine miaka 7 nataka watahiriwe wiki hii.
Niligoogle namba za Dk. Juma wa Kariakoo wanamsifu sana lakini bei zake zimechangamka. Sh elfu 60 kwa kila mtoto jumla laki na 20 sina hiyo pesa.
Je kwenye kila hispitali ya serikali hiyo huduma huwa inakuwepo? Naishi Chanika
Asante sana . Yupo kama gbt yani now shoga ama?Mpeleke kijichi hosp Kuna Dr mzuri sana yupo kama LGBT ,ukishindwa nenda zakhem hosp kote ni 20,000
Ungekuwa unaweza ungekuja moshi kuna mzee mmoja maarafu sana amenitahiri mimi na vijana wote wa hapa mtaani,hakuna kijana yeyote aliyehiriwa na huyo mzee akawa shoga wote marijali njoo nitakupelekaHabari zenu jamani naulizia hospitali gani nzuri ya serikali kwa Dar es salaam ambayo inatoa huduma ya kutahiri watoto wa kiume. Nipo na watoto wawili mmoja miaka 9 mwingine miaka 7 nataka watahiriwe wiki hii.
Niligoogle namba za Dk. Juma wa Kariakoo wanamsifu sana lakini bei zake zimechangamka. Sh elfu 60 kwa kila mtoto jumla laki na 20 sina hiyo pesa.
Je kwenye kila hispitali ya serikali hiyo huduma huwa inakuwepo? Naishi Chanika
Siku hizi dogo wa miaka mitano tayar, zamani tulikua tunatahiriwa Kwa intake mnakusanywa kama 15++ hapo mnapewa mafunzo siku mkipona mnafanyiwa bonge ya shereheEbana watu Wanatailiwa mapema, sisi Enzi Zetu mpaka unavyo ngozi u anayoo tu... Unakuja kukatwa na shoka ngozi imekomaa
Ha ha...Nilisoma shule ya Bweni Singida, form 1 na Five kutoka Usukumani wanakuja na magovi tunawachekaa, wakienda kwao likizo wakirudi shule wamekata.Nitahiri mtoto wa nini wakati mimi bado nina.......au basi