Ni ipi hospitali nzuri ya serikali ya kutahiri mtoto wa kiume kwa Dar es Salaam?

Miaka 13? Mbona mbali sana Mkuu, mm nilitahiriwa nikiwa na Miaka mitano.

Nadhani mtoto akitahiriwa akiwa Bado mdogo anapona mapema kidonda sababu anakuwa Bado hajakomaa sana.
Waswahili Wanasema sio vizuri kufanya mapema sana,
 
Ungekuwa unaweza ungekuja moshi kuna mzee mmoja maarafu sana amenitahiri mimi na vijana wote wa hapa mtaani,hakuna kijana yeyote aliyehiriwa na huyo mzee akawa shoga wote marijali njoo nitakupeleka
Kwani ushoga unatokana na kutahiriwa na fulanii?
Unajidanganyaa wee.
 
Mimi wamenikata bila ya ridhaa yangu, ingekuwa maamuzi yangu ningeliacha sweta langu mwenyewe nienjoy nalo.
 
Wapereke Taarime. Kutahiri bure Kabisa mura ni ujasiri wako mura
 
Kuna tofauti gani kati ya kuvalishwa pete na kushonwa?
Uponaji wa Pete ni haraka na mtoto anakuwa anavaa nguo kama kawaida.
Uponaji wa kushona ni taratibu na unahitaji hewa, mtoto anavaa kanga au nguo za kumpatia hewa maana anakuwa na bandage
 
Subiri akuekue hadi 15 then mpeleke Ukuryani
 
Mwache hadi iwe kubwa siku hz ke wanataka iwe ndefu na nene vinginevyo watamwita kibamia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…