Ni ipi hospitali nzuri ya serikali ya kutahiri mtoto wa kiume kwa Dar es Salaam?

Njoo huku ni 20k mmoja
 
Gharama ya kawaida hiyo
 
Awe kwanza mjumbe.
Inabidi tuanze kuwa na party za wana jf tunaoishi kigamboni😂😂
Sawa, atahudumu kwenye ujumbe kwa miaka mi3, tumuone mwenendo wake.

Wazo zuri, itabidi iwe hivyo.
 
Ndio.. bei ni hiyo hiyo....mtoto anafanyiwa vizuri bila manundu manundu
 
angesubiri june, kule tarime kuna msimu wa kutahiri, kule unatahiriwe kiume, sasa atairiwe hospital atakuwaje mwanaume rijari, akiona paka tu huyo ndani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…