Ni ipi Hoteli nzuri Morogoro?

Midland ni pazuri na bei zao ziko ndani ya budget yako, vijana wasikutishe Morogoro hoteli sio expensive hivyo
 
Maajabu sana, yaani hotel za kitalii hazifiki 10

Arusha hotel ya 50 Elfu, ni hotel za kiwango Cha juu ..una enjoy kama tourist, large room, AC, na heavy breakfast

Arusha, Moshi, Dar es salaam, Himo, ...hotel za tourist standard kuanzia 40,000 ni nzuri mno.

Ukilipa 60,000, unapata Jacuzzi
 
Mkuu sina imani sana na wewe na huyu Jackie nahisi lazima utakua umeshafanya yako sio kwa hizi sifa unazo mmwagia πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
Nenda Kombuna Resort,maeneo ya msikiti wa Mahita,iko poa sana,ina vyumba vya bei unayotaka...
 
Lodge mpya Sweet Africa jirani na kituo cha mafuta Total Msamvu,bei 25,000.00 mpaka 30,000.00
 
Mkuu yani na mimi ndio kinachonishangaza. Moro nalipaje laki mji hauna kivutio chochote? Hakuna bahari, hakuna mbuga ya maana, hakuna mlima? πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„ Ila nadhani labda kwavile hoteli zipo chache ndio maana wanajipangia bei wanavyotaka.

Mfano nilikua naiangalia moja jina sitaji ambayo ilitaka kubomolewa kipindi cha nyuma. Mtandaoni wanaonekana wanachaji 232,000!
  • hoteli ipo katikati ya mji, karibu na highway means makelele vurugu kama zote ukitoka tu getini unakutana na bodaboda, mama ntilie wanauza vitumbua nk
  • hoteli haina hata garden useme jioni utatoka upumzike
  • hoteli haina swimming pool
  • hoteli haina hata gym tu achilia mbali huduma zingine jacuzzi, sauna nk tusiende huko

Sasa hiyo 200k nalipia nini hasa, kitanda?? Hapo ukute hata dstv wamejiunga kifurushi cha 9000πŸ˜€. Na mtu kabisa anakuja kujisifu eti nimelala hoteli nzuri. Mzee umepigwa! πŸ˜„πŸ˜„ pale sanasana labda wangechaji 40,000 ningewafikiria 🀣🀣
 
Mkuu, Midland ni Lodge sio Hotel sema ni Lodge yenye Ghorofa. Nishawahi kulala.

Ni yale madude flani inayoelekea zamani enzi zake yalikua fresh lakini siku hizi zimechuja.



Kama Lodge hapo Msamvu zipo kali za 25 hadi 40 kali sana. Mfano Dag Lodge.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…