Jamaa_Mbishi
JF-Expert Member
- Jun 15, 2013
- 9,626
- 6,731
Hoteli nzuri pale ni nyumbani kwa mjumbe wa mtaa, ukifika Moro mtafute mjumbe akupe hifadhi ya siku kadhaa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni yale madude flani inayoelekea zamani enzi zake yalikua fresh lakini siku hizi zimechuja.
Hapo sawa. Sijafurahi wala kuchukiaSibonike Morogoro Hotel. Haya umefurahi?
Mbwembwe zote ukute unalala peke yako na gebe zako za kutaka hotel Kubwaaaaa!Kwa Moro sioni kama kuna hoteli ya maana mpaka nitenge bajeti kubwa zaidi ya hiyo.
BRENDA TOP LIFE HOTEL.NIMETOKA HAPO LEO.PAZURI SANA AU HIYO OPOSITE YAJE.BEI 40.000Moro kwa hela unapata Hotel decent kabisa. Ya nyota ngapi ni suala lingine.
acha dhereu nyoko hahahaha, japo umeongea ukweli.Mkuu yani na mimi ndio kinachonishangaza. Moro nalipaje laki mji hauna kivutio chochote? Hakuna bahari, hakuna mbuga ya maana, hakuna mlima? 😄😄😄 Ila nadhani labda kwavile hoteli zipo chache ndio maana wanajipangia bei wanavyotaka.
Mfano nilikua naiangalia moja jina sitaji ambayo ilitaka kubomolewa kipindi cha nyuma. Mtandaoni wanaonekana wanachaji 232,000!
- hoteli ipo katikati ya mji, karibu na highway means makelele vurugu kama zote ukitoka tu getini unakutana na bodaboda, mama ntilie wanauza vitumbua nk
- hoteli haina hata garden useme jioni utatoka upumzike
- hoteli haina swimming pool
- hoteli haina hata gym tu achilia mbali huduma zingine jacuzzi, sauna nk tusiende huko
Sasa hiyo 200k nalipia nini hasa, kitanda?? Hapo ukute hata dstv wamejiunga kifurushi cha 9000😀. Na mtu kabisa anakuja kujisifu eti nimelala hoteli nzuri. Mzee umepigwa! 😄😄 pale sanasana labda wangechaji 40,000 ningewafikiria 🤣🤣
Tax palace, top life Kuna hotel karibu mpya kabisaNategemea kwenda Morogoro kwa shughuli za kiofisi. Naomba anaejua hoteli nzuri isiwe mbali sana na Msamvu anijuze. Napendelea hoteli mpya mpya kwani ndio hua zinakua bado safi, vyoo havijagandia ukurutu, na magodoro hayajawa chapati.
Kwavile nina muda kidogo sijafika Moro, naomba msaada kwa aliefika siku za karibuni. Bajeti 50,000 - 60,000 kwahiyo sitafuti vi loji vya uchochoroni. Natanguliza shukrani.
Naunga mkono hoja, iko Karibu na chuo kikuu cha kiislamu Moro, niliwahi llala hapo ni bombà.
Kuna hoteli moja nilika siku mbili nimeisahau jina ila njia panda ya msamvu kuelekea mjini unanyooka na hiyo barabara mpaka njia panda ya pili unachukua mchepuko wa kulia kutoka hapo njia panda ya pili ni kama mita 200, ni ghorofa na pasafi na pana parking...vyumba 40 mpaka 80000 daraja unalotaka...nilikaa cha 55000, sijutii...nimesahau jina lake ila ni barabarani tu...Nategemea kwenda Morogoro kwa shughuli za kiofisi. Naomba anaejua hoteli nzuri isiwe mbali sana na Msamvu anijuze. Napendelea hoteli mpya mpya kwani ndio hua zinakua bado safi, vyoo havijagandia ukurutu, na magodoro hayajawa chapati.
Kwavile nina muda kidogo sijafika Moro, naomba msaada kwa aliefika siku za karibuni. Bajeti 50,000 - 60,000 kwahiyo sitafuti vi loji vya uchochoroni. Natanguliza shukrani.
Nashangaa wanaosema hiyo ni bei ya lodge...JF bana,mbona kuna room mpaka za elfu 35 na zina mpaka AC mkuu.