Ni ipi Hoteli nzuri Morogoro?

Ni ipi Hoteli nzuri Morogoro?

Nawashukuru kwa msaada wenu wakuu. Kuna loji nimepata chumba kina sebule yenye sofa set, bedroom na veranda kwa nje, full AC, dstv, simu, maji moto na room service kwa Tsh 40,000. Mliokua mnanitisha kwendeni zenu huko hamuijui Moro nyie..😆😆
Ungepataja ili wengine wasije kuwa na maswali kama yako.
 
Daaah mkuu hivi kweli ningekua nalala peke yangu ningehangaika kuja mpaka huku kutafuta chumba? Mimi mbona chumba cha 15,000 tu nalala fresh kabisa?😄
Wanawake wanathamini sana kupelekwa sehemu nzuri. Na ukiwa sehemu nzuri, oer diem yake iendane na sehemu hiyo. Huyo hakusahau kamwe. Ushauri kwenu vijana
 
Nawashukuru kwa msaada wenu wakuu. Kuna loji nimepata chumba kina sebule yenye sofa set, bedroom na veranda kwa nje, full AC, dstv, simu, maji moto na room service kwa Tsh 40,000. Mliokua mnanitisha kwendeni zenu huko hamuijui Moro nyie..[emoji38][emoji38]
Kwani wewe ulitaka lodge au ni hotel? Kwanini umefanya maamuzi ya kwenda lodge?
 
Nategemea kwenda Morogoro kwa shughuli za kiofisi. Naomba anaejua hoteli nzuri isiwe mbali sana na Msamvu anijuze. Napendelea hoteli mpya mpya kwani ndio hua zinakua bado safi, vyoo havijagandia ukurutu, na magodoro hayajawa chapati.

Kwavile nina muda kidogo sijafika Moro, naomba msaada kwa aliefika siku za karibuni. Bajeti 50,000 - 60,000 kwahiyo sitafuti vi loji vya uchochoroni. Natanguliza shukrani.
Edema hotel.

located at musilm university of morogoro

.karibu sana
 
Taxpalace Hotel kuna chakula kizuri sana kuna Dada yangu Manka menegar wa hiyo sehemu ya kula wasiliana nae 0718283955
 
Ark Hotel Morogoro mjini nimelala mazingira tulivyu sana kwa familia

Mhudumu huyu 0658824183

Ark Hotel ni pazuri sana
 
Ha ha haaa, kweli kabisa Boss! Hapo Midland chumba cha 60k ni kikali mno hutajutia! Kitambulisho hapana mkuu wewe wakati una-register hapo counter ulizia tu Jackie halafu umtajie hilo jina! Huwa ni hotel yangu ninapokuwa Mji Kasoro Bahari ( my favourite future city)
kwa nini ni your favorite future city,kuna nini cha ziada ulichokipenda na sisi tujifunze ikiwezekana tufikirie tustaafie huko
 
Back
Top Bottom