dronedrake
JF-Expert Member
- Dec 25, 2013
- 23,901
- 58,103
utatafuna sana totoz za JuCo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waigizaji wengi sana humu..Nashangaa wanaosema hiyo ni bei ya lodge...
Nimekaa hoteli moja classic kabisa kwa 55000
Ungepataja ili wengine wasije kuwa na maswali kama yako.Nawashukuru kwa msaada wenu wakuu. Kuna loji nimepata chumba kina sebule yenye sofa set, bedroom na veranda kwa nje, full AC, dstv, simu, maji moto na room service kwa Tsh 40,000. Mliokua mnanitisha kwendeni zenu huko hamuijui Moro nyie..😆😆
Wanawake wanathamini sana kupelekwa sehemu nzuri. Na ukiwa sehemu nzuri, oer diem yake iendane na sehemu hiyo. Huyo hakusahau kamwe. Ushauri kwenu vijanaDaaah mkuu hivi kweli ningekua nalala peke yangu ningehangaika kuja mpaka huku kutafuta chumba? Mimi mbona chumba cha 15,000 tu nalala fresh kabisa?😄
Kwani wewe ulitaka lodge au ni hotel? Kwanini umefanya maamuzi ya kwenda lodge?Nawashukuru kwa msaada wenu wakuu. Kuna loji nimepata chumba kina sebule yenye sofa set, bedroom na veranda kwa nje, full AC, dstv, simu, maji moto na room service kwa Tsh 40,000. Mliokua mnanitisha kwendeni zenu huko hamuijui Moro nyie..[emoji38][emoji38]
Edema hotel.Nategemea kwenda Morogoro kwa shughuli za kiofisi. Naomba anaejua hoteli nzuri isiwe mbali sana na Msamvu anijuze. Napendelea hoteli mpya mpya kwani ndio hua zinakua bado safi, vyoo havijagandia ukurutu, na magodoro hayajawa chapati.
Kwavile nina muda kidogo sijafika Moro, naomba msaada kwa aliefika siku za karibuni. Bajeti 50,000 - 60,000 kwahiyo sitafuti vi loji vya uchochoroni. Natanguliza shukrani.
Acha dharau kuku weweSiwezi kulala hoteli ya zaidi ya 50k Morogoro, kwa kipi hasa? Nikikosa nta scale down najua sitakosa lodge nzuri kwa bei hiyo hiyo au pungufu.
Morena Bado bado wewe ndo nawawekea mapazia Kwa sasa.Tafuta lodge tu, maana kwa kiasi hicho hauwezi kulala Kingsway, Flomi au Morena.
Kasema msavu Sasa unamswaga mjini huko akaibiwe na waruguru??Nenda GM 70k
kwa nini ni your favorite future city,kuna nini cha ziada ulichokipenda na sisi tujifunze ikiwezekana tufikirie tustaafie hukoHa ha haaa, kweli kabisa Boss! Hapo Midland chumba cha 60k ni kikali mno hutajutia! Kitambulisho hapana mkuu wewe wakati una-register hapo counter ulizia tu Jackie halafu umtajie hilo jina! Huwa ni hotel yangu ninapokuwa Mji Kasoro Bahari ( my favourite future city)