Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Iko vizuriAsante ntajaribu japo nilishalala hapo miaka ya nyuma. Vipi, hapajachokachoka kwa sasa?
hahahahahaBudget ya 50-60 bado ni ya Lodge tu. Lala Flomi hapo we only live once.
Midland ni pazuri na bei zao ziko ndani ya budget yako, vijana wasikutishe Morogoro hoteli sio expensive hivyoAsante sana afande. Naona watu wananitisha hapa wakati 50k niki bargain vizuri hata nashera nalala 🤣🤣. Saiz uchumi mgumu hoteli zinapiga miayo tu nikalipe laki ya kazi gani? Ungenitumia na kitambulisho chako na picha nikifika nimuonyeshe Jackie 😆😆
Sibonike Morogoro Hotel. Haya umefurahi?Mtajie jina la Hotel sio mmiliki.
Mkuu sina imani sana na wewe na huyu Jackie nahisi lazima utakua umeshafanya yako sio kwa hizi sifa unazo mmwagia 😄😄😄Ha ha haaa, kweli kabisa Boss! Hapo Midland chumba cha 60k ni kikali mno hutajutia! Kitambulisho hapana mkuu wewe wakati una-register hapo counter ulizia tu Jackie halafu umtajie hilo jina! Huwa ni hotel yangu ninapokuwa Mji Kasoro Bahari ( my favourite future city)
Location Kasema Jirani Na MsamvuNenda Kombuna Resort,maeneo ya msikiti wa Mahita,iko poa sana,ina vyumba vya bei unayotaka...
Ongeza kidogo ukalale cate hotelsAcha mikwala mkuu, moro sio mji wa kitalii na hii ni low season plus kuna corona nk mimi hiyo 50k nataka hoteli ya maana.
Anataka hoteli sio loji mkuuLodge mpya Sweet Africa jirani na kituo cha mafuta Total Msamvu,bei 25,000.00 mpaka 30,000.00
Akalale Hapo Sasa Pia Nane Nane Tabora LodgeLodge mpya Sweet Africa jirani na kituo cha mafuta Total Msamvu,bei 25,000.00 mpaka 30,000.00
NashelaIle Aliyolala Adam Malima RC Tanga Wakachukua SMG
Mkuu yani na mimi ndio kinachonishangaza. Moro nalipaje laki mji hauna kivutio chochote? Hakuna bahari, hakuna mbuga ya maana, hakuna mlima? 😄😄😄 Ila nadhani labda kwavile hoteli zipo chache ndio maana wanajipangia bei wanavyotaka.Maajabu sana, yaani hotel za kitalii hazifiki 10
Arusha hotel ya 50 Elfu, ni hotel za kiwango Cha juu ..una enjoy kama tourist, large room, AC, na heavy breakfast
Arusha, Moshi, Dar es salaam, Himo, ...hotel za tourist standard kuanzia 40,000 ni nzuri mno.
Ukilipa 60,000, unapata Jacuzzi
Mkuu, Midland ni Lodge sio Hotel sema ni Lodge yenye Ghorofa. Nishawahi kulala.
Ha ha haaa, kweli kabisa Boss! Hapo Midland chumba cha 60k ni kikali mno hutajutia! Kitambulisho hapana mkuu wewe wakati una-register hapo counter ulizia tu Jackie halafu umtajie hilo jina! Huwa ni hotel yangu ninapokuwa Mji Kasoro Bahari ( my favourite future city)![]()
Mkuu umeamua kutuulia biashara kabisa sasa!Mkuu, Midland ni Lodge sio Hotel sema ni Lodge yenye Ghorofa. Nishawahi kulala. View attachment 1968921
Ni yale madude flani inayoelekea zamani enzi zake yalikua fresh lakini siku hizi zimechuja.
View attachment 1968939
Kama Lodge hapo Msamvu zipo kali za 25 hadi 40 kali sana. Mfano Dag Lodge.
Ngoja nifute.Mkuu umeamua kutuulia biashara kabisa sasa!