Ni ipi Hoteli nzuri Morogoro?

Ungepataja ili wengine wasije kuwa na maswali kama yako.
 
Daaah mkuu hivi kweli ningekua nalala peke yangu ningehangaika kuja mpaka huku kutafuta chumba? Mimi mbona chumba cha 15,000 tu nalala fresh kabisa?😄
Wanawake wanathamini sana kupelekwa sehemu nzuri. Na ukiwa sehemu nzuri, oer diem yake iendane na sehemu hiyo. Huyo hakusahau kamwe. Ushauri kwenu vijana
 
Kwani wewe ulitaka lodge au ni hotel? Kwanini umefanya maamuzi ya kwenda lodge?
 
Edema hotel.

located at musilm university of morogoro

.karibu sana
 
Taxpalace Hotel kuna chakula kizuri sana kuna Dada yangu Manka menegar wa hiyo sehemu ya kula wasiliana nae 0718283955
 
Ark Hotel Morogoro mjini nimelala mazingira tulivyu sana kwa familia

Mhudumu huyu 0658824183

Ark Hotel ni pazuri sana
 
kwa nini ni your favorite future city,kuna nini cha ziada ulichokipenda na sisi tujifunze ikiwezekana tufikirie tustaafie huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…