Ni ipi Hoteli nzuri Morogoro?

Ni ipi Hoteli nzuri Morogoro?

TheChoji

JF-Expert Member
Joined
Apr 14, 2009
Posts
5,771
Reaction score
17,849
Nategemea kwenda Morogoro kwa shughuli za kiofisi. Naomba anaejua hoteli nzuri isiwe mbali sana na Msamvu anijuze. Napendelea hoteli mpya mpya kwani ndio hua zinakua bado safi, vyoo havijagandia ukurutu, na magodoro hayajawa chapati.

Kwavile nina muda kidogo sijafika Moro, naomba msaada kwa aliefika siku za karibuni. Bajeti 50,000 - 60,000 kwahiyo sitafuti vi loji vya uchochoroni. Natanguliza shukrani.
 
Nategemea kwenda moro kwa shughuli za kiofisi. Naomba anaejua hoteli nzuri isiwe mbali sana na msamvu anijuze. Napendelea hoteli mpya mpya kwani ndio hua zinakua bado safi, vyoo havijagandia ukurutu, na magodoro hayajawa chapati. Kwavile nna muda kidogo sijafika moro, naomba msaada kwa aliefika siku za karibuni. Bajeti 50,000 - 60,000 kwahiyo sitafuti vi loji vya uchochoroni. Natanguliza shukrani.
Hiyo nzuri ya Mzee Makamba hapo hapo Junction ya kuingia Msamvu Bus Terminal au uende kule Jirani na ilipo Shule ya Forest Hill au iliyopo Mita chache tu na Kanisa zuri na Kubwa la Katoliki Morogoro na Mtakatifu Patrick.
 
Mkuu ungenisaidia majina ya hizo hoteli ningeshukuru sana ili ni google kabisa na namba zao ikiwezekana niwapigie
 
Nategemea kwenda moro kwa shughuli za kiofisi. Naomba anaejua hoteli nzuri isiwe mbali sana na msamvu anijuze. Napendelea hoteli mpya mpya kwani ndio hua zinakua bado safi, vyoo havijagandia ukurutu, na magodoro hayajawa chapati. Kwavile nna muda kidogo sijafika moro, naomba msaada kwa aliefika siku za karibuni. Bajeti 50,000 - 60,000 kwahiyo sitafuti vi loji vya uchochoroni. Natanguliza shukra
Mkuu wasikutishe bwana, hugo bei unapata kabisa tena chumba vizuri kabisa chenye kiyoyozi, bed and breakfast nzito. Nenda pale Midland Hotel, ipo Iringa road, just a walking distance from Msamvu bus terminal! Mwambie yule binti pale mapokezi anaitwa Jackie kwamba umeelekezwa na Afande Manjagata!😁😁😁
 
Hupati Hotel ya vijipesa hivyo. Hiyo ni Lodge tu. Andaa 120,000 plus upate Hotel nzuri
Acha mikwala mkuu, Moro sio mji wa kitalii na hii ni low season plus kuna corona nk mimi hiyo 50k nataka hoteli ya maana.
 
Hiyo nzuri ya Mzee Makamba hapo hapo Junction ya kuingia Msamvu Bus Terminal au uende kule Jirani na ilipo Shule ya Forest Hill au iliyopo Mita chache tu na Kanisa zuri na Kubwa la Katoliki Morogoro na Mtakatifu Patrick.
Mtajie jina la Hotel sio mmiliki.
 
Mkuu wasikutishe bwana, hugo bei unapata kabisa tena chumba vizuri kabisa chenye kiyoyozi, bed and breakfast nzito. Nenda pale Midland Hotel, ipo Iringa road, just a walking distance from Msamvu bus terminal! Mwambie yule binti pale mapokezi anaitwa Jackie kwamba umeelekezwa na Afande Manjagata!😁😁😁
Asante sana afande. Naona watu wananitisha hapa wakati 50k niki bargain vizuri hata nashera nalala 🤣🤣. Saiz uchumi mgumu hoteli zinapiga miayo tu nikalipe laki ya kazi gani? Ungenitumia na kitambulisho chako na picha nikifika nimuonyeshe Jackie 😆😆
 
Ha ha haaa, kweli kabisa Boss! Hapo Midland chumba cha 60k ni kikali mno hutajutia! Kitambulisho hapana mkuu wewe wakati una-register hapo counter ulizia tu Jackie halafu umtajie hilo jina! Huwa ni hotel yangu ninapokuwa Mji Kasoro Bahari ( my favourite future city)
 
Back
Top Bottom