Jackal
JF-Expert Member
- Apr 10, 2012
- 9,971
- 13,608
Shida za kujitakia?Sema tu alikuwa anahitaji bikra 72 huko jongomeo!Sinwar ni shujaa, hakukimbilia uhamishoni akawaacha watu wake katika shida
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shida za kujitakia?Sema tu alikuwa anahitaji bikra 72 huko jongomeo!Sinwar ni shujaa, hakukimbilia uhamishoni akawaacha watu wake katika shida
HAO NI WAPIGANIA UHURU KAMA KINA MANDELA, DEDAN KIMATHI. KAMA NI.UGAIDI BASI MAREKANI NA ISRAEL NI MAGAIDI ZAIDIWadau hamjamboni nyote?
Tumeshuhudia baadhi ya nchi duniani zikitoa matamko au misimamo yao kufuatia kifo cha aliyekuwa Kiongozi Mkuu wa kikundi cha Hamas Yahys Sinwar.
Kwa mfano Rais Joe Biden alitoa kauli ifuatayo:
"Hii ni siku nzuri kwa Israel, Marekani na Dunia nzima"
"This is a good day for Israel, for the United States, and for the world,”
Ndugu zangu naomba kujua msimamo, tamko ,mtazamo au kauli ya Serikali yetu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwenye tukio hili kubwa duniani
Watanzania wengi naamini wangependa wajue Serikali yao imesimama upande upi wapi kwenye suala hili
Niwatakie usiku mwema
Mkuu hatujakuzoea na hizi lugha humu.Tuliza kishundu mwantumu wewe.
Hili nakubaliana nawewe 100%, maana maiti ilivyookotwa imekutwa imevaa mavazi ya makombati na bunduki ya kivita imedondoka pembeni mwake.Kupigania maslahi ya watu wake ndio unamuita gaidi? Kama yeye ni gaidi, Netanyahu ni nani?
Kwa mzania huo, wote ni magaidi.
Sinwar ni shujaa, hakukimbilia uhamishoni akawaacha watu wake katika shida. Aliishi nao hapohapo Gaza, akauawa nao hapohapo Gaza.
Subiri siku vita itokee hapa Tanzania uone ni kiongozi gani atabaki nasi hata baada ya mwaka mmoja wa vita.
Amevuna Alicho panda!Wadau hamjamboni nyote?
Tumeshuhudia baadhi ya nchi duniani zikitoa matamko au misimamo yao kufuatia kifo cha aliyekuwa Kiongozi Mkuu wa kikundi cha Hamas Yahys Sinwar.
Kwa mfano Rais Joe Biden alitoa kauli ifuatayo:
"Hii ni siku nzuri kwa Israel, Marekani na Dunia nzima"
"This is a good day for Israel, for the United States, and for the world,”
Ndugu zangu naomba kujua msimamo, tamko ,mtazamo au kauli ya Serikali yetu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwenye tukio hili kubwa duniani
Watanzania wengi naamini wangependa wajue Serikali yao imesimama upande upi wapi kwenye suala hili
Niwatakie usiku mwema
Lazima ujue msimamo wa nchi ni upi. Serikali ya tz ni ya mrengo wa katiWadau hamjamboni nyote?
Tumeshuhudia baadhi ya nchi duniani zikitoa matamko au misimamo yao kufuatia kifo cha aliyekuwa Kiongozi Mkuu wa kikundi cha Hamas Yahys Sinwar.
Kwa mfano Rais Joe Biden alitoa kauli ifuatayo:
"Hii ni siku nzuri kwa Israel, Marekani na Dunia nzima"
"This is a good day for Israel, for the United States, and for the world,”
Ndugu zangu naomba kujua msimamo, tamko ,mtazamo au kauli ya Serikali yetu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwenye tukio hili kubwa duniani
Watanzania wengi naamini wangependa wajue Serikali yao imesimama upande upi wapi kwenye suala hili
Niwatakie usiku mwema
Anapiganis maslahi ya. Iran!Kupigania maslahi ya watu wake ndio unamuita gaidi? Kama yeye ni gaidi, Netanyahu ni nani?
Kwa mzania huo, wote ni magaidi.
Sinwar ni shujaa, hakukimbilia uhamishoni akawaacha watu wake katika shida. Aliishi nao hapohapo Gaza, akauawa nao hapohapo Gaza.
Subiri siku vita itokee hapa Tanzania uone ni kiongozi gani atabaki nasi hata baada ya mwaka mmoja wa vita.
Wewe jamaa una kisirani kweli utafikiri kauawa basha wako..Tuliza kishundu mwantumu wewe.
Kila mtu anatambua Israel ndio gaidi.
Ndio maana Adolf Hitler alisema amewaacha dunia ijionee ni wanyama wa aina gani hawa.
Kizazi chako chote hakimfikii kifikra Hitler hata robo.
Tunahusikaje ?Wadau hamjamboni nyote?
Tumeshuhudia baadhi ya nchi duniani zikitoa matamko au misimamo yao kufuatia kifo cha aliyekuwa Kiongozi Mkuu wa kikundi cha Hamas Yahys Sinwar.
Kwa mfano Rais Joe Biden alitoa kauli ifuatayo:
"Hii ni siku nzuri kwa Israel, Marekani na Dunia nzima"
"This is a good day for Israel, for the United States, and for the world,”
Ndugu zangu naomba kujua msimamo, tamko ,mtazamo au kauli ya Serikali yetu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwenye tukio hili kubwa duniani
Watanzania wengi naamini wangependa wajue Serikali yao imesimama upande upi wapi kwenye suala hili
Niwatakie usiku mwema
HAO NI WAPIGANIA UHURU KAMA KINA MANDELA, DEDAN KIMATHI. KAMA NI.UGAIDI BASI MAREKANI NA ISRAEL NI MAGAIDI ZAIDI
Duh...Anapiganis maslahi ya. Iran!
Ñetanyahu añatii agizo la Mungu wake!
👇👇
Kumbukumbu la Torati 19:20-21
20 Na watakaosalia watasikia na kuogopa, wasifanye tena uovu mfano wa huo katikati yako.
21 Wala jicho lako lisiwe na huruma; uzima kwa uzima, jicho kwa jicho, jino kwa jino, mkono kwa mkono, mguu kwa mguu.
Acha hasira mkuu, mimi sio myahudi.Tulio wewe nguruwe pori.
Usisahau hao mashoga wenzake wa swkwIsrael unaowashabikia ndio walianza kuua na kukanyaga watu na vifaru Agosti 23.
kUsisahau kuwa kila mwaka raia takriban 40+ hususan watoto chini ya miaka 12 wanakamatwa na IDF na kuwekwa jela za watu wazima.
Hivi wewe una akili kuliko viongozi wa Ireland,Belgium,Brazil,Spain,Cuba na Colombia!??
Wewe si takataka tu kwa hao viongozi!?
Hao wamesadikisha ukweli kuwa Israel ni taifa la KISHENZI na wamevunja nao mahusiano ya kidiplomasia na Israel.
Nimekupa habari uache kuropoka sio unashabikia vitu kama mcheza taarabu tu.Acha hasira mkuu, mimi sio myahudi.
Waarabu wenzio wanachapika huko, kubwabwaja kwako humu haisaidii wapalestina huko gaza.
Jikusanye uende huko gaza kawasaidie magaidi wenzio
Hata kabla ya Yahya wamefukuzwa makazi yao wakajenga wayahud kuweni na huruma basi kwanini wakae kimya? Leo Hii waje warundi pale kigoma wajenge nyumba zao na kuvunja za waha wasukumiwe eneo dogo tu hata pa kulima hamna litavumilika hilo?Amevuna Alicho panda!
Sababu ya maangamizi yoote ya Watu na Mali ni yahya sinwar
Unaombea vita itokee Tanzania ? Kwa faida ya nani ? Waulize waliokuwepo 1978 kati ya Uganda na Tanzania.Kupigania maslahi ya watu wake ndio unamuita gaidi? Kama yeye ni gaidi, Netanyahu ni nani?