Ni ipi kauli au msimamo rasmi wa Serikali ya Tanzania kufuatia kifo cha aliyekuwa Kiongozi wa Hamas Yahya Sinwar?

Wadau hamjamboni nyote?

Tumeshuhudia baadhi ya nchi duniani zikitoa matamko au misimamo yao kufuatia kifo cha aliyekuwa Kiongozi Mkuu wa kikundi cha Hamas Yahys Sinwar.

Kwa mfano Rais Joe Biden alitoa kauli ifuatayo:
"Hii ni siku nzuri kwa Israel, Marekani na Dunia nzima"

"This is a good day for Israel, for the United States, and for the world,”

Ndugu zangu naomba kujua msimamo, tamko ,mtazamo au kauli ya Serikali yetu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwenye tukio hili kubwa duniani

Watanzania wengi naamini wangependa wajue Serikali yao imesimama upande upi wapi kwenye suala hili

Niwatakie usiku mwema
HAO NI WAPIGANIA UHURU KAMA KINA MANDELA, DEDAN KIMATHI. KAMA NI.UGAIDI BASI MAREKANI NA ISRAEL NI MAGAIDI ZAIDI
 
Tuliza kishundu mwantumu wewe.
Mkuu hatujakuzoea na hizi lugha humu.

Jana nilikushauri usipokuwa makini watu humu watakutia uchizi naona dalili zinaanza kujitokeza.

Nakushauri badili jukwaa achana na international forums kwa muda wa wiki nenda zako japo kule kwenye jukwaa la mapenz au picha za watoto wakali worldwide utulize akili
 
Kupigania maslahi ya watu wake ndio unamuita gaidi? Kama yeye ni gaidi, Netanyahu ni nani?
Kwa mzania huo, wote ni magaidi.

Sinwar ni shujaa, hakukimbilia uhamishoni akawaacha watu wake katika shida. Aliishi nao hapohapo Gaza, akauawa nao hapohapo Gaza.

Subiri siku vita itokee hapa Tanzania uone ni kiongozi gani atabaki nasi hata baada ya mwaka mmoja wa vita.
Hili nakubaliana nawewe 100%, maana maiti ilivyookotwa imekutwa imevaa mavazi ya makombati na bunduki ya kivita imedondoka pembeni mwake.

Kwetu sisi majemedari wetu Wakiwa vitani ama ziara za kutembelea wapiganaji waliopo kwenye mapambano, hawabebagi bunduki za kivita, wao hubeba fimbo na bastola tu ya show off.
Na nchi ikizingirwa kama ilivyo Gaza sasa hivi, wote wangekuwa washakimbilia uhamishoni.
 
Wadau hamjamboni nyote?

Tumeshuhudia baadhi ya nchi duniani zikitoa matamko au misimamo yao kufuatia kifo cha aliyekuwa Kiongozi Mkuu wa kikundi cha Hamas Yahys Sinwar.

Kwa mfano Rais Joe Biden alitoa kauli ifuatayo:
"Hii ni siku nzuri kwa Israel, Marekani na Dunia nzima"

"This is a good day for Israel, for the United States, and for the world,”

Ndugu zangu naomba kujua msimamo, tamko ,mtazamo au kauli ya Serikali yetu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwenye tukio hili kubwa duniani

Watanzania wengi naamini wangependa wajue Serikali yao imesimama upande upi wapi kwenye suala hili

Niwatakie usiku mwema
Amevuna Alicho panda!
Sababu ya maangamizi yoote ya Watu na Mali ni yahya sinwar
 
Lazima ujue msimamo wa nchi ni upi. Serikali ya tz ni ya mrengo wa kati
 
Kupigania maslahi ya watu wake ndio unamuita gaidi? Kama yeye ni gaidi, Netanyahu ni nani?
Kwa mzania huo, wote ni magaidi.

Sinwar ni shujaa, hakukimbilia uhamishoni akawaacha watu wake katika shida. Aliishi nao hapohapo Gaza, akauawa nao hapohapo Gaza.

Subiri siku vita itokee hapa Tanzania uone ni kiongozi gani atabaki nasi hata baada ya mwaka mmoja wa vita.
Anapiganis maslahi ya. Iran!
Ñetanyahu añatii agizo la Mungu wake!
👇👇
Kumbukumbu la Torati 19:20-21
20 Na watakaosalia watasikia na kuogopa, wasifanye tena uovu mfano wa huo katikati yako.

21 Wala jicho lako lisiwe na huruma; uzima kwa uzima, jicho kwa jicho, jino kwa jino, mkono kwa mkono, mguu kwa mguu.
 
Tuliza kishundu mwantumu wewe.
Kila mtu anatambua Israel ndio gaidi.
Ndio maana Adolf Hitler alisema amewaacha dunia ijionee ni wanyama wa aina gani hawa.
Kizazi chako chote hakimfikii kifikra Hitler hata robo.
Wewe jamaa una kisirani kweli utafikiri kauawa basha wako..
 
Sunwar angeishi Tanzania angekuwa gaidi pia jasili haachi asili
 
Tanzania inataka mwili wa Joshua.. I hope baba yake amejisikia nafuu kifo cha Sunwar
 
Wadau hamjamboni nyote?

Tumeshuhudia baadhi ya nchi duniani zikitoa matamko au misimamo yao kufuatia kifo cha aliyekuwa Kiongozi Mkuu wa kikundi cha Hamas Yahys Sinwar.

Kwa mfano Rais Joe Biden alitoa kauli ifuatayo:
"Hii ni siku nzuri kwa Israel, Marekani na Dunia nzima"

"This is a good day for Israel, for the United States, and for the world,”

Ndugu zangu naomba kujua msimamo, tamko ,mtazamo au kauli ya Serikali yetu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwenye tukio hili kubwa duniani

Watanzania wengi naamini wangependa wajue Serikali yao imesimama upande upi wapi kwenye suala hili

Niwatakie usiku mwema
Tunahusikaje ?
 
HAO NI WAPIGANIA UHURU KAMA KINA MANDELA, DEDAN KIMATHI. KAMA NI.UGAIDI BASI MAREKANI NA ISRAEL NI MAGAIDI ZAIDI

Anapigania uhuru gani?. Makubaliano ya Oslo yalishawapa Uhuru, Hamas wakakataa.
 
Anapiganis maslahi ya. Iran!
Ñetanyahu añatii agizo la Mungu wake!
👇👇
Kumbukumbu la Torati 19:20-21
20 Na watakaosalia watasikia na kuogopa, wasifanye tena uovu mfano wa huo katikati yako.

21 Wala jicho lako lisiwe na huruma; uzima kwa uzima, jicho kwa jicho, jino kwa jino, mkono kwa mkono, mguu kwa mguu.
Duh...
Ujinga ni mzigo.
Pole kijana.
 
Tulio wewe nguruwe pori.
Usisahau hao mashoga wenzake wa swkwIsrael unaowashabikia ndio walianza kuua na kukanyaga watu na vifaru Agosti 23.
kUsisahau kuwa kila mwaka raia takriban 40+ hususan watoto chini ya miaka 12 wanakamatwa na IDF na kuwekwa jela za watu wazima.
Hivi wewe una akili kuliko viongozi wa Ireland,Belgium,Brazil,Spain,Cuba na Colombia!??
Wewe si takataka tu kwa hao viongozi!?
Hao wamesadikisha ukweli kuwa Israel ni taifa la KISHENZI na wamevunja nao mahusiano ya kidiplomasia na Israel.
Acha hasira mkuu, mimi sio myahudi.
Waarabu wenzio wanachapika huko, kubwabwaja kwako humu haisaidii wapalestina huko gaza.
Jikusanye uende huko gaza kawasaidie magaidi wenzio
 
Nimekupa habari uache kuropoka sio unashabikia vitu kama mcheza taarabu tu.
Fahamu chanzo nani kaanza sio ushabiki maandazi.
 
Amevuna Alicho panda!
Sababu ya maangamizi yoote ya Watu na Mali ni yahya sinwar
Hata kabla ya Yahya wamefukuzwa makazi yao wakajenga wayahud kuweni na huruma basi kwanini wakae kimya? Leo Hii waje warundi pale kigoma wajenge nyumba zao na kuvunja za waha wasukumiwe eneo dogo tu hata pa kulima hamna litavumilika hilo?
 
Kupigania maslahi ya watu wake ndio unamuita gaidi? Kama yeye ni gaidi, Netanyahu ni nani?
Kwa mzania huo, wote ni magaidi.

Sinwar ni shujaa, hakukimbilia uhamishoni akawaacha watu wake katika shida. Aliishi nao hapohapo Gaza, akauawa nao hapohapo Gaza.

Subiri siku vita itokee hapa Tanzania uone ni kiongozi gani atabaki nasi hata baada ya mwaka mmoja wa vita.
Unaombea vita itokee Tanzania ? Kwa faida ya nani ? Waulize waliokuwepo 1978 kati ya Uganda na Tanzania.
 
Sio tu Simba na Yanga hata Vita mnataka bomu la Mama sio?
Ajira ziko nyingi vijana mkiamua kuacha kushadadia mambo ya America, Ulaya na Asia ili mjikite katika mambo ya msingi yanayoweza kuwajenga kiuchumi.
 
Back
Top Bottom