Ni ipi kazi ya shanga kwenye mahusiano?

Kwani shosti Yako cocastic Yuko wapi Leo?au ndio keshaenda zake Massachusetts Kwa Kiranga kumpa style ya DP world kupora bandari?

Sisy cocastic nakwambia ana kibwana chake cha chuo kinamsumbua kweli, pesa hakina ila anasema eti anaweza ku do bas tafrani….kila ikifika weekend anafungiwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Safari ya NYC bado
 
Eeeh mwali ana balaa,!ndio maana Leo nakuona alone
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…