ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 48,052
- 104,677
Wengine tunajiachia tu, codes chache tunaweka ili kupunguza matatizo. Najua we sio mpare, nasemea huko kwetu na hizo shanga wapi na wapi!!🤣🤣🤣🤣🤣Weweeee,,,mi kabila langu wanavaa shanga tangu enzi za mababu,nilikwambia ukiwa JF inabidi uishi kama FBI mi sio MPARE,
Sema style ya mahaba ninayoipenda Mimi sio mambo ya shanga na Udi,Mimi ni "roses, chocolate and wine"