Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
- Thread starter
- #201
Wakati Tunawaza Kazi Ya Shanga Wenzetu Wanahanza Kugundua Kitu Fulani ,
Afrika ukivumbua tu kutengeneza silaa unawekwa ndani, ukivumbua mambo ya umeme unatakiwa ukatafute kibali, lasivyo utawekwa ndani; kwa hiyo mazingira pia yanaathiri ukuaji wa teknolojia/uvumbuzi