Chale david
Member
- Jun 12, 2023
- 51
- 27
Naombe msaada kujuzwa kozi nzuri kati ya Bussness Administration na Accountancy ipi yenye ajira zaidi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Accountancy. Hakikisha tu una cpa.Naombe msaada kujuzwa kozi nzuri kati ya bussness administration na accountancy ipi yenye ajira zaidi
ZoteNaombe msaada kujuzwa kozi nzuri kati ya bussness administration na accountancy ipi yenye ajira zaidi
kasome diploma ya accountNaombe msaada kujuzwa kozi nzuri kati ya bussness administration na accountancy ipi yenye ajira zaidi
Mim naona bussness administration ni gud zaidkasome diploma ya account
sawaMim naona bussness administration ni gud zaid
Naombe msaada kujuzwa kozi nzuri kati ya bussness administration na accountancy ipi yenye ajira zaidi
Una elimu gan??... Yani Kwa jinsi ulivyojibu unaonekana Kabisa huna elimu... Ndo maana unakatisha watu tamaaKama unasoma kwa ajiri ya kazi unapoteza muda wako bure
Hamkatishi tamaa anamwambia ukweliUna elimu gan??... Yani Kwa jinsi ulivyojibu unaonekana Kabisa huna elimu... Ndo maana unakatisha watu tamaa
Nooooo,halikisha ukisoma business courses cha kwanza fikiria kujiajiri tu mengine yaje km alternative.Kama unasoma kwa ajiri ya kazi unapoteza muda wako bure
Kwahiyo mtu anasome accounts au BBA ili ajiajiri???... Kuna haja ya kukagua ninayebishana nae!... Nakutakia jioni njema!Nooooo,halikisha ukisoma business courses cha kwanza fikiria kujiajiri tu mengine yaje km alternative.
Sio wote wanaosoma ni maskini kuna wanaosoma wasimamie mali za familia kuna wanaosoma wanapewa mitaji kuanzisha biashara au miradi ya familia,kuna watuwanasubiriwa wamalize wapewe kazi endelea kuamini hivyo hivyoKwahiyo mtu anasome accounts au BBA ili ajiajiri???... Kuna haja ya kukagua ninayebishana nae!... Nakutakia jioni njema!
😅😅😅Jamaa amekuambia ukweli na hualisia wa Ulimwengu juu ya Elimu... Tumia akili kutafakari utamuelewa ila ukitumia hayo makaratasi yako unayoita Elimu hutomuelewaUna elimu gan??... Yani Kwa jinsi ulivyojibu unaonekana Kabisa huna elimu... Ndo maana unakatisha watu tamaa
Ushataja mtaji tayari... Yani baada ya kugraduate ni familia ngapi zitaafford kukupa wewe mtaji... 0.001% Tusiongopeane hapa ... Hii ni Tanzania almost 80% mpka 90% ni watoto wa wakulima(Kipato cha chini) Na tunasoma tuajiriwe kisha tuzikomboe familia zetu!!... Hii mitazamo ya kujiajiri ni nadharia za uongo... Na hata ikitokea mtu amejiajiri basi lazma afanye kazi walau miaka mitano mpka kumi kisha ndo aamue kufanya Mambo yake mfano kilimo,biashara au Kampuni binafsi mfano nzuri ni Fred Vunjabei... Aligraduate na BBA... akaajiriwa serikalini baada ya Muda(Alipopata mtaji) akaamua kuacha na kufungua biashara zake!Sio wote wanaosoma ni maskini kuna wanaosoma wasimamie mali za familia kuna wanaosoma wanapewa mitaji kuanzisha biashara au miradi ya familia,kuna watuwanasubiriwa wamalize wapewe kazi endelea kuamini hivyo hivyo