Ni ipi nafasi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali kwa sasa?

Sheria haijatamka kigezo cha umri kwa gavana ila wameweka vigezo vya kitaaluma na uzoefu kazini
Hiko cheo cha governor wa Bank kina limitations za umri?
Maana sio ajira rasmi ya umma. Ni uteuzi
 
Huyu alitimiza hiki kifungu?

(b) has not less than fifteen years experience in the fields of economics,
banking, accountancy or finance or law;
Unajielewa ww ama umekurupuka!!??
Luoga alikuwa mwalimu wa TAX udsm kwa zaidi ya miaka 27.
This field touches the economy na sheria
 
Ni kweli akikiuka sheria anaweza kuondolewa na bunge ! Lakini wakati huo huo Rais anaweza kulivunja bunge wakati wowote na ukaitishwa uchaguzi mwingine. !! Sasa hapo ni nani mwenye Nguvu ??!
 
Weka hicho kifungu cha Sheria kinachosema Gavana wa BoT lazima aserve two terms?
 
We Zitto hili la Luoga umeliona.
 
Suala la Kuongezewa muda kwa Jaji Mkuu kunazua maswali mengi zaidi juu ya nafasi ya Mwanasheria Mkuu kama Legal adviser mkuu wa Serikali
 
Tz rais ndio kila kitu hapo ndio chanzo cha matatizo yote.Msiwalaumu hao wanaojiita machawa wa mama hata ukiteuliwa wewe leo automatically utageuka kuwa chawa
 
Tz rais ndio kila kitu hapo ndio chanzo cha matatizo yote.Msiwalaumu hao wanaojiita machawa wa mama hata ukiteuliwa wewe leo automatically utageuka kuwa chawa
Kuna nafasi hutakiwi kuwa chawa. Kama unampenda kweli Rais lazima umlinde na tuhuma mbalimbali ikiwemo za namna hii!
 
Samia kwa kutompa Prof Luoga kipindi cha pili cha miaka mitano kinyume na matakwa ya Sheria ya Benki Kuu ya mwaka 2006.
What a shame! Thread inaongelea hali ya hatari kwa afya ya wananchi kwa ujumla wao, wewe unachomekea swala la kibinafsi la mtu moja, ndugu yako kukosa ulaji.
Hapa Rais wangu kipenzi nae kavunja Sheria
Kuuzwa kwa bandari za Tanganyika swala lenye athari kwa maslahi ya mamilioni ya Watanganyika, uko bega kwa bega na Rais wako kipenzi! Adui wa taifa hili ni CCM.

Kuguswa tu ndugu yako kipenzi, unalalama sheria kuvunjwa, kweli una akili wewe! CCM kwa kweli imejaa wabinafsi, walafi na wezi. Adui namba wani wa taifa hili ni CCM.
 
Tatizo hunijui! Nadhani umeanza kunifuatilia juzi!

Kwenye ukweli nimekuwa nasema ukweli daima.
Natetea mkataba wa Tanzania na Dubai kwa kuwa kiukweli sijaona hoja zenye mashiko kisheria kusema hauko sawa!

Nimekuwa natetea Katiba na matakwa ya Katiba humu tangu kipindi cha JK, akaja Magufuli na sasa kipindi cha Samia.

Nilipinga alivyoondolewa Prof Assad, Nikapinga alivyoondolewa Prof Luoga na sasa nimepinga kuongezewa muda wa kutumikia kama Jaji Mkuu kwa Prof Juma kwa sababu vyote ni kinyume na Sheria na Katiba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…