anaongea sana kama chirikuAnaongea?tuanzie hapo
wangu sio wa dawa, ye karithi kwa babu yake japo yeye anaonekana kazidiKuna uzi humu unasema watoto wa dawa huwa ni chronics..
Kua nae karibu ni ngumu maana twashinda makazini nduguWakati mwingine ni kwa sababu ya malezi yetu ya freerange, kumchapa hakumfundishi chochote na ww ni shaidi umeshachapa sana lkn hakuna mabadiliko. Jaribuni kuwa karibu na kila anachokifanya hivyo mtamuwahi kabla hajafanya madhara. Mkimwachia hivyo kuna siku atasababisha madhara mabaya zaidi ya mlioshayaona.
mie sina kishamba na ninashinda kazini sijui unanishauri nini nduguninako kamoja katoto ka dada miaka10 shida yake hakakai home kutwa kwa majirani kucheza, nmekalimia matuta mawili ya mchicha kila siku asubuhi na jioni kanamwagilia...
ahsante ndugu, zawadi nawaletea sana labda ukaribu tu ndo mgum ajili ya busyHakuna ulazima wa kumuonyesha ukali kwa kumpiga,zidi kua nae karibu mwambie madhara ya hayo usiyoyapenda na atabadilika
Pia akifanya jambo zuri umpongeze kama unazawadi ndogondogo umpatie pale anapobadilika kitabia kwa kufanya mema
Ukirudi kutoka kwenye shuhuli zako,muite uwe nae karibu zaidi,amini atabadilika
Basi tengeneza ukaribu hata nusu saa kwa wikiahsante ndugu, zawadi nawaletea sana labda ukaribu tu ndo mgum ajili ya busy
Habari wana JF,,
Mwanangu ana miaka 5 lakini ni mtundu kupita kiasi, daily anaharibu vitu ndani, anapiga wenzake, ashameza msumari akanusurika, alimtia harage puani mdogo wake mpaka akatolewa hospitali, hua nina mchapa kiasi lakini sioni akipunguza utundu.
Laiti kungekua na selo za watoto nadhani ningempeleka kwanza akatulie huko, please mwenye kujua njia nzuri ya kumkabili mtoto wa aina hii anijuze maana nahisi kuchanganyikiwa.
ahsante ndugu, nadhani kwenye ukali hapo panaweza kua na utatuzi maana namkaripia sana na napokua nyumbani mtulivu sana ila muda ambao sipo daily unakutana na kesiBasi tengeneza ukaribu hata nusu saa kwa wiki
Ndio nani huyo comrade ama ndo "deikeya"?Mpeleke kwa Mama Doris akamfundishe...
mie sina kishamba na ninashinda kazini sijui unanishauri nini ndugu
Toka mtandaoni: Ujumbe kwa mama DorisNdio nani huyo comrade ama ndo "deikeya"?
mimi sikua mtundu ndugu ila baba ndo alikua mtundu mtundu, hata jina kamuita yeye sasa hadi tabia karithi japo babu yake mwenyewe anasema huyu kazidi utundu wakeWewe 'Utundu' wako na ambao ndiyo huenda akawa 'ameurithi' kwa 100% na hata 'Kuzidi' ulimalizwa vipi na Wazazi wako au wana Jamii Kwenu?