Masulupwete
JF-Expert Member
- Feb 15, 2012
- 2,366
- 2,438
Tatizo saivi wazaz wanawachekeachekea sana watoto wakidhani kuwa wanawapenda.
Kumbe ndo unatengeneza bomu la bdae hivyo.
Dogo akikosea;
1. Hakikisha unamjulisha kosa lake.
2. Mara chache mtatindike viboko vile vya kuhesabika (kama vya kishuleshule). Usimchape hovyohovyo ile unachapa kila mahali, hiyo humfanya awe atakuwa nunda.
3. Hakikisha haujapita muda mrefu kati ya kufanya kosa na nawewe kutoa adhabu.
4. Wazaz muwe na msimamo mmoja kuhusu malez. Kama baba ana msimamo wake na mama nae ana msimamo wa kivyake hiyo tayari ni shida.
**La muhimu zaidi hakikisha mtoto anajua kosa lake na yeye mwenyewe anajutia alichofanya.
Malez si lelemama.